Oooooooh! Kwa Mara nyingine wana JF,
Kuona hiki kitopic nimeamua kukiweka kwasababu ambazo znasumbua kichwa changu! Mimi ninamschana wangu yule mpaka juzi nilitoa maada kuwa alinikuta getto...
1. Confidence
A woman with confidence in herself radiates and calls out for admiration.
2. Well-moisturized lips
Let your lips not be dry. Use lip balm, lip gloss, lip stick or naturally...
Mi ni mmojawapo ya waumini wa sera ya live-and-let-live lakini kwa hili hata unakuta mtu wa jinsia ya kiume kavaa suruali au pensi na kailegeza, t-shirt kaipandisha juu, 75%ya makalio ipo wazi...
Salaam,
Ni hivi kuna baba yangu mdogo ambae ameajiriwa kwenye Taasisi moja ya Serikali huko Mwanza alioa mwanamke ambae kabla ya kuoana alimdanganya kuwa hana mtoto kumbe anao wawili aliozaa...
Wana JF,Kuna hii ishu ya akina mama,kujaribu kufunga uzazi kwa muda kwa njia ya kitanzi au kijiti,katika njia zote zina side effects yake kwa mwanamke,lakini hii ya kitanzi japo...
Samahani sana dada zangu kuuliza si ujinga, napenda kufahamu kama huwa mnapenda mwanaume anaeweza kukatika kitandani yaani kuzungusha kiuno wakati wa tendo la ndoa.
Wasalaam MMU,
Katika hali ya kutafakari nimeconclude kuwa wanaume linapokuja suala la genye tuko wepesi sana kushawishka.Yaani utashangaa mwanamke unamtokea hata zaidi ya mwaka mashairi yanagonga...
Huyu dada kwenye 6:24 kwa kweli anatisha. Kaunga na Boflo mwasemaje? Tumpe Unyamwezi?
Mzee wa KIKUNGU na St. Paka Mweusi , mwasemaje? snowhite kama una umbo linalokaribiana na hili na hako ka...
Simuelewi huyu mwanaume kanianzishia gubu tu haongei na mimi wala kuwasiliana ukimpigia simu akipokea anakujibu anavyojua yeye kila kitu kwake ni lawama tu, mambo yake anafanya kimya kimya, sijui...
Jamani mwanaume flani ivi anayevaa shati flani hivi zuri, suruali yake nzuri kachomekea.Kitu model flan hivi. Halafu saa flani hivi yani na kiatu kimoja matata.Perfume dah mie hoi.
Kwa ndani...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
Jamani chimbo jipyaaa Instagram KIJIWECHAWADADAWAOFISINI Fanya kufollow kitu flani amazing kina kuja wiki hiii...
Punyeto ni tendo linalovunja sheria za nchi na amri za Mungu, sperm za mwanaume zina zaid iya watoto laki moja zinapotoka kama bao.Ukipiga punyeto unaua zaidi ya binadamu laki moja kwa bao moja tu...
Wanaume wengi sana wana shida kubwa ya kupendwa na wanawake! Kwanza naweza kusema hata ni bahati kutokea kupendwa na mwanamke, wengi wao ingawaje wana mahusiano na wanawake lakini mara nyingi ni...
Habarini wadau wa Jf,
Nilikuwa nje kwa muda nimerudi kivingine nianze na hii BIBLIA Iiliposema, "Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili...
Amon (sio jina kamili) rafiki yangu toka kidato cha pili alipohamia kutoka shule Galanos Tanga, kwa muda wote alikuwa ananihadithia jinsi alivyokutana na binti mmoja ndani ya ndege ambapo binti...
Kwajina naitwa JL naishi Dar es salaam umri wangu 31, rangi yangu ni maji yakunde,dini Rc ni mtakae jinsia mwanamke umri wake 25-34,awe mweupe,elimu na kabila lolote,mwenye vigezo ani pm atajibiwa...
Naitwa Elisha nipo Dar es salaam nasoma chuo, natafuta mpenzi mwenye mpenzi ya dhati asiwe mpenda pesa umri kati ya miaka 18-23 namba yangu ni 0658281933, Sifa awe mfupi wa wastani.
Kama mnavyojua kakaenu maisha yamenifikisha hapa kenya hivyo sina budi coz natafuta life,sasa kama mnavyojua ukiwa mgeni pahali utajulikana tu, basi nilipofika hapa mwanzo nilipata suport kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.