Ni mpweke, ni pekee yangu kandokando ya bahari iliyo tulivu
Mara ya mwisho kuja ubongoni mwangu ulikuja bila kukaribishwa
yawaje mtu uliyeusigina moyo wangu bado wahozi fikra zangu?
Ni muda tangu...
Habari zenu wana jf? hususan wale wana wa MMU
Kwa kweli swala la kumpata mke mwema si jambo rahisi ila inahitaji umakini na utulivu na kumchagua mtu ambaye atakuwa mke baadae ok sasa niende...
​
(Oyunga Pala) A good example of male privilege is how rarely men suspect their wives of cheating even when they are blatantly having affairs in their face. Male powers of deduction are...
Habari zenu wapendwa?
Natumai hamjambo .....
Kuna jambo nataka nijifunze nanyi jioni ya leo
Hebu fikiria tu kuwa umepokea PM yangu muda huu na nimekutongoza kwa aina yoyote ile
Inaweza kuwa...
Hisia za mtu katika mapenzi humfanya binadamu awe nauwezo wakusema asichotenda na akaaminika, avae uhusika usio wake naakakubaliwa mi kwangu mapenzi ni siasa iliyokomaa mtu anakuahidi nitakupnda...
Mwanangu!
Baba yako nimezeeka sasa, nikiwa na ufahamu mdogo,na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu,nikupe neno gani? Labda hivi...
1.KUHUSU TAMAA ZAO. Mwanamke yeyote anaweza...
Kama wewe ni mdada unayejitambua upo mpweke au umeumizwa sana naomba kampani yako ya ku chat, outing na kubadilishana mawazo.
Please uwe serious umri wangu miaka 29 number 0713644485
Siku moja majambazi yakavamia nyumbani kwako. Baada ya kuchukua kila walichohitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo.Wewe ukapiga magoti na kuwasihi sana wakusamehe kwani huwezi kufanya kumuua...
Would you let your family go on a date for you?
That's the question Mzansi Magic's latest dating show: Date My Family.In Date My Family, bachelors and bachelorettes must choose a potential based...
I tried so hard to find friends in the sea of loneliness, only to find that loneliness was my only friend.I dont know why i'm here or but atleast i believe i can get someone like me.
Pm me
Habari zenu wakuu,
Hivi karibuni kaka yangu ametoka kumfuata mkewe(shemeji yangu) ukweni baada ya kuuza vyombo vya ndani na kutokomea nyumban kwao! Leo hii ninavyoandika huyu mke...
Jana nilikuwa nasafiri kwa bus kwenda Mkoani. Wakati nasubiria muda wa kuondoka, nikawa nabadilishana mawazo na baadhi ya vijana wanaobeba Mizigo kwa matolori.
Mara likaingia basi la Meridian...
Nina mke tu na mwaka sasa na ana mtoto yani hajisikii kabisa kudo, ni mara ni moja sana ukisubiri akuanze itakata miezi. Naomba msaada nimlishe nini au dawa gani niwe naenjoy.
Upo kazini umeacha familia yako nyumban mara gafla unapigiwa simu, kutazama unakutana na namba ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na sauti ya msichana ya kuvutia lakini kabla hajasema shida...
Ni mwanamke ninaempenda sana namuamini pia nimempa kila kitu ili asione najificha kwa chochote nyuma ya pazia, kama nywila zote isipokuwa za ATMs, namjali sana, kila mda lazima nijue anaendeleaje...
Safari yangu ya ndoa ilianza kwa namna yake! nikiwa mitaa fulani ya kijitonyama' baada ya kuhitimu na kuamua kuacha kazi ili nijikite kwenye ujasiriamali nilikutana na ukata ambao sikuwahi...
KWANZA HONGEREN KWA KUMALIZA SHULE VYEMA
PILI KAZI ZA HUKU NISHIDA JAMANI
TATU WAMEANZISHA KIPENGELE CHA MIAKA KWENYE KUOMBA KAZI AMBACHOA KIKUWEPO MKIONDOKA NA HILI NAHISI AMKULIJUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.