Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,238
Huyu dada kwenye 6:24 kwa kweli anatisha. Kaunga na Boflo mwasemaje? Tumpe Unyamwezi?
Mzee wa KIKUNGU na St. Paka Mweusi , mwasemaje? snowhite kama una umbo linalokaribiana na hili na hako ka weupe na usomi wako, ng'ombe wengi sana baba yako atapata. Ukiacha wa Mahali, tutamuongezea wengine 30 GRATIS.

Last edited by a moderator: