Mchunguze, kwa mbaaaaaaaaaaaaaali napata harufu ya mchepuko... Fanya uchunguzi makini kuna jambo usilotakiwa kulijua ila ndio lazima ulijue uwe huru kupanga maisha yako.Simuelewi huyu mwanaume kanianzishia gubu tu haongei na mimi wala kuwasiliana ukimpigia simu akipokea anakujibu anavyojua yeye kila kitu kwake ni lawama tu mambo yake anafanya kimya kimya sijui nifanyaje tupo mbali mbali ingawa tuna watoto watatu.
Simuelewi huyu mwanaume kanianzishia gubu tu haongei na mimi wala kuwasiliana ukimpigia simu akipokea anakujibu anavyojua yeye kila kitu kwake ni lawama tu, mambo yake anafanya kimya kimya, sijui nifanyaje tupo mbali mbali ingawa tuna watoto watatu.

Pole mwaya, naimani ukikaa kimya na wewe huku ukiangalia zaidi maisha ya watoto wako itapendeza sana.