Wanaume wengi hawapendwi na wanawake

Wanaume wengi hawapendwi na wanawake

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Wanaume wengi sana wana shida kubwa ya kupendwa na wanawake! Kwanza naweza kusema hata ni bahati kutokea kupendwa na mwanamke, wengi wao ingawaje wana mahusiano na wanawake lakini mara nyingi ni uhusiano wa upande mmoja tu, yaani yaya mwanaume ndiyo anakuwa kampenda zaidi mwanamke.

Hili jambo nimeliona sana kwenye jamii yetu kwa maana kila siku washikaji wanalalamika mara utasikia huyu mwanamke nikimpigia hasishiki simu, mara tukiahidia tukutane basi hatokei na huja na vijisababu kibao, wengine huyu mwanamke siku akinipigia simu basi uje kuna kitu anataka n.k

Kukuta mwanaume ana mwanamke na amependwa kweli na huyo mwanamke ni nadra sana wengi wanalazimisha tu, hivyo kama wewe una mwanamke na kweli unaona unapendwa basi jione mwenye bahati sana kwa maana wanaume wengi wanatumiwa na wanawake.
 
Ni bora udhani hupendwi-ukawa hupendwi kweli au unapendwa.
Kuliko.

Kudhani unapendwa-kwa switie nyingi,baby,honey,ndio mpenzi,kumbe hola.

Ujue wakati mwingi wanaume wasi wasi unatufanya tusiamini yale tunayoambiwa na wenzi wetu,sababu hatuna ushahidi juu ya wanachotuambia.

Na kama kuna mtu hana wasi wasi na demu wake au hajawahi kuonyeshwa vitabia ulivyoviorodhesha aje atoe ushuhuda.

NB.Hii haiapply kwa wahongaji wa wanawake na wauza k mtaani.ila kwa watu na wapenzi wao.
 
Ndio maana najipenda mimi kwanza..
 
Back
Top Bottom