Kidasa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 309
- 108
Wana JF,Kuna hii ishu ya akina mama,kujaribu kufunga uzazi kwa muda kwa njia ya kitanzi au kijiti,katika njia zote zina side effects yake kwa mwanamke,lakini hii ya kitanzi japo akina mama wanaipenda binafsi nawaonea huruma kwani ni mateso tu:
1.Inamsababishia mdada kuchukua muda mwingi kukaa kwenye siku zake na damu kutoka kwa wingi.Hizo siku anazokaa zaidi ya siku 7 inasababisha mateso kwa mume wake kwani anakosa papuchi kwa wakati unaotakiwa,sometimes kumlazimu kutafuta ya pembeni.
2.Kwa vile anakutana mara kwa mara na mume wake,manii zinafika kwenye ukingo wa kitanzi na kugota hapo hivyo kusababisha harufu kali sana wakati wa kufanya tendo.KWA KWELI HII HARUFU UNAWEZA KUSEMA PANYA KAFIA KWENYE PAPUCHI.
Nawashauri akina mama the only safe way ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa ni kutumia Condom tu.Nyingine ni majanga sana.