Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 170
Samahani sana dada zangu kuuliza si ujinga, napenda kufahamu kama huwa mnapenda mwanaume anaeweza kukatika kitandani yaani kuzungusha kiuno wakati wa tendo la ndoa.
Eeeeh! kumbe kuna wanaume wanaokatika mauno? Hao watakuwa wanaume kama mabinti.
Japo swali halinihusu lakini sidhani kama dada zangu watapenda kuwa na mahusiano na mashoga.
Nina mwanaume wangu Mngoni...yaani yeye ndo anabaki controller wa kila kitu.
Mwanaume ana mauno yuleeeee, wallah hata nikiolewa sitamuacha.
Yaani ananipeleka puta mpaka naishiwa pumzi.
Hapa asipaone Shark

Samahani sana dada zangu kuuliza si ujinga, napenda kufahamu kama
huwa mnapenda mwanaume anaeweza kukatika kitandani yaani
kuzungusha kiuno wakati wa tendo la uzazi?
Wenye kusemasema oooh seya,
Wabaaki na aaaibu!
Miss you Babu Seya!