Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,258
Punyeto ni tendo linalovunja sheria za nchi na amri za Mungu, sperm za mwanaume zina zaid iya watoto laki moja zinapotoka kama bao.Ukipiga punyeto unaua zaidi ya binadamu laki moja kwa bao moja tu hiyo ni kwa siku moja.

Hivyo unateketeza maelfu ya roho za viumbe visivyokua na hatia kwa kipindi chote cha kujichua.Hivyo unavunja amri ya Mungu inayosema usiue na pia sheria ya nchi inayosema usiue.

Kwa mtazamo wangu unastahili kupelekwa ICC au the Hague kwa kosa la kufanya mauaji ya halaiki
 
Kasome biology kwanza usilete uzi wa kichafu kwa hisia za imani yako. aliyekuambia sperms ni watoto nani!.

Mungu hakuumba uje ujichue unamkosea muumba wako bure zile ni mbegu na chanzo cha roho ule ni unafsi na roho kwa makusudio ya allah subianah wa wataalah
 
Mungu hakuumba uje ujichue unamkosea muumba wako bure zile ni mbegu na chanzo cha roho ule ni unafsi na roho kwa makusudio ya allah subianah wa wataalah

tunataka logic thinking na si imani yako binafsi. siku moja utatuambia nywele pia zi hai zisikatwe kwa kuwa zinakuwa na Mungu hakuumba mikasi ya kukatia nywele na hakuagiza zikatwe.
hapa siongelei kupiga au kutopiga punyeto bali naongea kuwa sperms si watoto
 
Sperm kibailojia ni hatua ya mwanzi ya mimba ni hatua ya muhimu ya utungwaji mimba inayopelekea kuleta kijusi
 
Nadhani ulikusudia ujumbe lkn umechanganya habari....
 
mkuu tumia mbinu nyingine ya kupinga punyeto ila sio hii maana umechemsha mbaya
 
Sasa na wale wana ndoa ambao hawana mpango wa kupata mtoto ila wanafanya starehe tu utasemaje? Huwa hawatoa sperm wakiduu?
 
Kwan Hata Ukisema Kila Mbegu Itunge Mimba We Unazan 2ngekuaje Dunian Ikiwa Bao Moja Ni Kama Sperm Milion 100, Sasa Ww Kwa Akili Zako Unazan Tungeish Vipi, Hata Ivyo ,hata Kama Kila Mtu Akiwa Na Mke Wakifanya Mapenzi Ili Wapate Mtoto Ni Sperm Moja Tu Au Mbili Ndio Zinazofanya Kazi Kwa Mana Iyo Izo Zingine Zote Ni Mait??? Kwaiyo Wote Tunaua???? Ebu Fikiria Tena
 
Mungu hakuumba uje ujichue unamkosea muumba wako bure zile ni mbegu na chanzo cha roho ule ni unafsi na roho kwa makusudio ya allah subianah wa wataalah

Unachosema ni kwamba, hata ukifanya tendo la ndoa na mke wako akiwa katika siku ambazo si za kushika mimba unakuwa umeua na ni dhambi. Maana hata pata mimba na mbegu zinakuwa zimepotea. Na kwa kuwa ulijua dhahiri hawezi kupata mimba unakuwa umetenda dhambi.
 
I have a friend who does it twice a day...

Nahisi angekuwa na dunia yake sasa kwa hao viumbe alikojolea ardhini...almost 2 years now
 
I have a friend who does it twice a day...

Nahisi angekuwa na dunia yake sasa kwa hao viumbe alikojolea ardhini...almost 2 years now
Biology hairuhusu dini na state law pamoja mila hazisemi ufanye hivyo
 
Unachosema ni kwamba, hata ukifanya tendo la ndoa na mke wako akiwa katika siku ambazo si za kushika mimba unakuwa umeua na ni dhambi. Maana hata pata mimba na mbegu zinakuwa ozimepotea. Na kwa kuwa ulijua dhahiri hawezi kupata mimba unakuwa umetenda dhambi.
Hapana ile ni njia asili iliyowekwa na mungu si dhambi mbona kuchanga kinakaa tumboni 9month huku kikupumua hayo ndio maajabu ya mungu so ukimwagia ndan mungu anatenda muujiza wake
 
mkuu tumia mbinu nyingine ya kupinga punyeto ila sio hii maana umechemsha mbaya
Mambo mabaya ndio yanayopendwa na watu so hapa najaribu kupingana na interest za watu ila nitareleweka mwishon kwa taaaaabu saaaaaaaaana
 
Kwan Hata Ukisema Kila Mbegu Itunge Mimba We Unazan 2ngekuaje Dunian Ikiwa Bao Moja Ni Kama Sperm Milion 100, Sasa Ww Kwa Akili Zako Unazan Tungeish Vipi, Hata Ivyo ,hata Kama Kila Mtu Akiwa Na Mke Wakifanya Mapenzi Ili Wapate Mtoto Ni Sperm Moja Tu Au Mbili Ndio Zinazofanya Kazi Kwa Mana Iyo Izo Zingine Zote Ni Mait??? Kwaiyo Wote Tunaua???? Ebu Fikiria Tena
Hizo zote mungu hakukuumba usimwage chini aliziumba uzimwage kumani ule sio uchafu ni moja kati ya vitu viwili vinavyosimama kama agano vibapomwagika viaashiria laana au sadaka
 
Back
Top Bottom