Someni hapa waungwana mnisaidie mimi limenishinda

Someni hapa waungwana mnisaidie mimi limenishinda

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
896
Reaction score
568
Kwa mfano. Mchumba wako kakutembelea kwako bila taarifa kakufanyia suprise ukamkaribisha ndani mfukoni mwako una tsh 600/=tu! Akaamua kuficha aibu ukaenda dukani kumnulia fanta ya 600/= wewe ukachukuwa chupa ya sprite ukaijaza maji ili ajue kama mnakunywa soda wote mda kidogo akasema mpenzi wangu tubadilishane soda. Je, Niambie mwezangu utafanyaje?

Uwanja ni wa kwako tiririka sasa ili nijue ujanja wako mimi limenishnda
 
Hahahaha umeniamsha vizuri .
Duh ngoja tuwasubirie
 
hamna kitu kama hicho
ina maana hayo maji uliyaweka wapi hakuona??????,??
kama ulikinga nje ina maana hukuifungua mbele yake

by the way soda ukitilia maji inaonekana

kama ni kweli mpenzi wako hajui kwamba kila mtu anakunywa soda anayoipenda??,?
hope ulivyoenda kununua ulimuuuliza nilununulie soda gani
iweje aje atake soda yako tena
 
Kama kweli ni mchumba wako, it means mna siku nyingi kiasi before na kila mmoja anaelewa hali ya mwenzake. Kwanini usiwe open kwake?? Na kama amekuja kwa surprise, ni lazima akubaliane na hali halisi atakayoikuta. Huna haja ya kupretend kiasi hicho, unless uniambie ni kademu tu umekatokea jana au juzi na ukamdanganya kwmb ww una hela...!! Na pia hujatuambia kwmb hiyo 600 ndo moja kwa moja hata benki huna hela au vp...!! Kma zipo benki, sio kesi. So long as ni mchumba, dat means pia unamwamini kumuacha home kwako. Panda gari nenda town kwny ATM, vuta mkwanja...!!
 
Vunja chupa

Lakini kubwa zima utakuaje na mia sita tu???

mkuu ratiba ilinibana Jana coz juz aliniomba mkwanja anaenda tour Moro akazisomba afu nikawa natumain kesho jumatatu ntashka mkwanja sa kaja ghafla walivyorudi tu hadi Getto
 
hamna kitu kama hicho
ina maana hayo maji uliyaweka wapi hakuona??????,??
kama ulikinga nje ina maana hukuifungua mbele yake

by the way soda ukitilia maji inaonekana

kama ni kweli mpenzi wako hajui kwamba kila mtu anakunywa soda anayoipenda??,?
hope ulivyoenda kununua ulimuuuliza nilununulie soda gani
iweje aje atake soda yako tena

yaan hadi saizi nashindwa kuelewa ni kama ndoto mkuu coz ckuelewa elewa tu ila toeni mawazo nigain idea coz nlichokafanya ntawaambia mkinipa mawazo yenu
 
Michezo ya kitoto hiyo. Mchumba wa kupretend mbele yake kuwa huna hela hana maana. Piga chini huyo and stop faking it!
Afu tafuta hela, wewe mtoto wa kiume bwana. Alaaaa!!

sawa hela ntatafuta tu mkuu ila hata cjui kilinikuta nin mpaka nlifanya hivyo ilhari ni dem angu wakitambo tuna kama 5 years
 
Kama kweli ni mchumba wako, it means mna siku nyingi kiasi before na kila mmoja anaelewa hali ya mwenzake. Kwanini usiwe open kwake?? Na kama amekuja kwa surprise, ni lazima akubaliane na hali halisi atakayoikuta. Huna haja ya kupretend kiasi hicho, unless uniambie ni kademu tu umekatokea jana au juzi na ukamdanganya kwmb ww una hela...!! Na pia hujatuambia kwmb hiyo 600 ndo moja kwa moja hata benki huna hela au vp...!! Kma zipo benki, sio kesi. So long as ni mchumba, dat means pia unamwamini kumuacha home kwako. Panda gari nenda town kwny ATM, vuta mkwanja...!!

yaan ilikua kama nimefumwa nilivyokahangaika hata celewi ile attention ilitokea wapi co tuna 5. years daaah f#ck me
 
Back
Top Bottom