vitus juma
Member
- May 20, 2015
- 98
- 43
Hisia za mtu katika mapenzi humfanya binadamu awe nauwezo wakusema asichotenda na akaaminika, avae uhusika usio wake naakakubaliwa mi kwangu mapenzi ni siasa iliyokomaa mtu anakuahidi nitakupnda milele, sitakusaliti afu kesho unamkuta kwa ghetto la jamaa yako.
Duuu ujakaa vizuri anakuomba msamaha unamkubalia wakati huo nawe unakakimada kapya afu ako kakimada kapya unakadanganya mi sijawai kuwa na mpenzi, nako kanakwambia hivyo basi unatuna kichwa kwa kujiona upo pekeyako kumbe umesahau uongo uliomuaminisha nayo ndio katumia huo daaaah, mapenzi jangwa la ukiwa.