Wazo tu;msirudi tanzania mtajuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo tu;msirudi tanzania mtajuta

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  KWANZA HONGEREN KWA KUMALIZA SHULE VYEMA
  PILI KAZI ZA HUKU NISHIDA JAMANI
  [​IMG]


  TATU WAMEANZISHA KIPENGELE CHA MIAKA KWENYE KUOMBA KAZI AMBACHOA KIKUWEPO MKIONDOKA NA HILI NAHISI AMKULIJUA
  NNE:AJIRA MTAKAYOPATA KWA UMERI WENU HATA MSHAHARA WATAWABANA SANA
  TANO NASHAURI KAMA MNA CHANNEL NZURI ZAIDI HUKO WALA SIO KWA KUJA KUOMBA AJIRA MTAISHIA CLOUDSSSSSS FM MSIJE ITWA WAMBEA NA ELIMU ZANI

  SITA
  NAWATAKIA KILA LA KHERI BWANA WA BARIKI NA KUWALINDA
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pdidy!

  This is not a good spirit, turning people from their country. Why are you still in Tanzania? Kwani ni wewe unasema hayo na bado uko Bongo! Jamani, huko Ulaya kuna nini? Watu wanaokaa huko wana nini? We have more Vogues in Dar than in London! Wanajenga nchi za watu? Najua na ninakubaliana sana kwamba nchi yetu ina kila aina ya ujinga (kuanzia umeme, barabara, hosp, shule ... the list is endless), lakini hapa ndio kwao! Huko Majuuu wala hawatakuwa na amani ya kwenda kula nyma choma kule kinondoni kama Bongo! Wewe jaribu kenya tu uone askari wao watakavyokufanya! Hata ukipata kazi kesnya utaona jinsi wasivyopenda! Muulize Prof Tibaijuka!

  Do you know what a capital;ist do to the working class (ambao wewe unataka wabakioe huko)! Just to leave a body and souls together to survive, so that you can produce for him! No wonder watu wa nje wakija bongo siku hizi wanabana ngenge, hawana mpya, kila kitu kipo hapa, tuna maisha mazuri pamoja na foleni, mafuriko na hata shida ya maji!!! hebu waombe hao jamaa zako wakutumie 500 usd uone kama wanayo! Zote wamelipia capitalists bills! At the end of the month, the bills are endless........ kisa, unapanda train ya umeme unayo keep time as opposed na Dar foleni!

  Nenda uendako, home is best! Wapi kama Bongo!


  Wapi kama Bongo!
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahah mi sijasoma kitu jamani zaid ya headline huyo babu wa katikati hapo juu kanitisha kanambia weeee!!!! mi nikakimbia hahah loo
   
 4. Kiguhu

  Kiguhu Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona unatutisha wenzio?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  msirudi bana afadhali mubebe boksi huko huko lakini huku mkija mtapauka mpaka mtajishangaaa...Mhhh ila na huyo wa katikati mbona kakomaa sana yuko ulaya kweli huyo au alikuwa anapiga vitu kwa distance learning kaenda kwenye graduation tu...teeeh lakini hongera kwenu
   
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  p diddy is wrong,home is home.OKADA ndio umechemsha kabisa DAR has more VOGUES then London,as a great thinker i expect you to tell us about INFANT MORTALITY,LIFE EXPECTANCY etc,etc haya mambo ya vogues waachie akina michuzi blog
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Son of Alaska (lucky you, mimi ni son of Mbamba Bay!!!!) Soma vizuri, nimesema kuwa Tanzania kuna kila aina ya ujinga... na nimeonyesha matatizo ya Dar, ambayo wewe hukutaka kuyaona, despite all those problems, we are happy kuliko yeye anayemfanyia kazi capitalist,! . Kusema Dar has more vogues than london .. I expected you to read between the lines..... kuwa hata yaliyoko London, na Dar yapo! This was just an example, and it is not static!
   
 8. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Okada,happiness is just a state of mind,one can live on one meal a day and be happy-what makes someone in tanzania happy could have the opposite effects elsewhere.Again hata huyo mfanyakazi wa Tanzania anamfanyia kazi capitalist WHAT i am trying to say is it is totally wrong to compare countries the way u did cause dont forget Tanzania consumes more then she produces,the shortfall coming from the likes of London,watu ambao to u are an unhappy lot
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nakuja huko july mana bongo nchi imeshajambiwa inanuka
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  siwatishi wapendwa kama mna ndugu zenu ulizen huku hali ya kazi shida mbaya mshahara utakaopata unamalizia kwenye matumizi yote mafuta ya gari 2208 be ya kikomo leo sasa sijui na nyie kubana nana na majasho kama mie mwenzenu sijui kama mtaweza..anyway siwakatazi unajua bora uamini MUNGU YUPO HATA USIPOMKUTA HAINA MADHARA KULIKO KUTOMWAMINI SIKU YA MWISHO UKAANZA WEEWE KUULIZWA MAKOSA YAKO ....UTATAMANI ARDHI ICHIMBIKE..WELCOME TO TANZANIA JAMANI MKIWA MNAKUJA TUJULISHEN HATA TUJE NA KAUA CHA KUWALIWAZA HATA MKIKAA MIEZI 6 BILA KAZI MNAKAKUMBUKA KAUA CHETU ...KILA LA KHERI TENA
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280

  mwaya huyo ndie alienihimiza kumjulisha jamani KUNA KIPENGELE CHA UMRI KIMEONGEZWA KWENYE APPLICATION YA AJIRA..UNAJUA WAZUNGU NI WASHENZI SANA SANA..WALIJUA TUSIPOWEKA UMRI TUTALETEWA WAZEE WA MIAKA 50..WE NENDA CHUO UONE MTU ANA MIAKA%%^^ ANAKWAMBIA ELIMU AINA MWISHO NANI KAKWAMBIE MBONA UKIGRADUATE MPAKA PHD ,,PROF UENDELEI..LAKINI UKIFIKISHA MIAKA YETU ILEEEEEEE 6..........OOOOHHH WANAPIGA HODI YA BARUA OMBA MWENYEWE UPUNGUZWE..SO NI MAKINI SANA KUSOMA KWA AKILI NA KUJALI MUDA VINGINEVYO MTAKUJA SOMA NA WAJUKUU ZENU ..RAHA YA DEGREE,MASTERS .PHD UITUMIE SIO MIAKA 6 WAKIPIGA MAMBO YETU YALE RID***(( KUPATA KAZI NDIO MPAKA WAKUPAKE ANNOINTING ..ISIFIKE HUKO
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280

  muulize askofu aliekupa thanks akwambie raha ya uko na uku..ngoja nikwambie sio lazima uishi ikulu uishi maisha mazuri lakini nakwambia vyema uje uyaone tena vizuri kuna maandamani chadema wameanza mikoa yote mtusaidie kutujazia watu na mwazo yenu yatasaidia kubadilisha bei za vyakula na mafuta ya petrol
   
 13. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa mtu akutumie dola 500 anayosotea jasho lake kwa nini? unapenda sana mteremko mtoto wa kiume

  Napenda nchi yangu ila ya kijinga sana na daima itakuwa masikini. wewe laumu hao capitalist ila kodi na bili zote zinazolipwa unaona matunda na manufaa yake kwa wazawa hata hao wabeba box.

  Na ukiiangalia dar es salaam ni tofauti na hali halisi ya tanzania kwa ujumla, nenda mtwara, lindi huko wapi sijui kigoma mwisho wa reli ndiyo utaijua vizuri nchi yako. achana na mambo ya kula nyama choma sijui kinondoni kazi kunenepeana hata afya hazijaliwi madai umeridhika na maisha. watu dar wametuna tuna utafikiri wanabugia hamira kila siku halafu kila kitu madili hata kitu ambacho ni haki yako kama mzawa.

  Nchi ya kibwege sana
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  'Urefu na ufupi ni kazi ya Mungu,kitambi ni juhudi zako mwenyewe'.Miss Pirate wambie wachangiaji wala hawana haja ya kubishana kwenye mada hii,signature yako jibu tosha!
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  kutokana na jibu la pirate

  kwa kweli wale mnaosumbusumbua ndugu zenu nje mkijua wanahela embu wapeni muda wakiwa nazo watume kwa muda wao sasa unaomba doller 500 zikusaidie nini kwa dar,..binafsi ndugu yangu nilimwambia ukitaka kutuma mtumie mama si chini ya 1000 yaani utume ukijua unatumika si kujulikana uko nje..na si lazima as long wazazi wanakula na kwenda choo mara tatu kwa siku hii neeema ya mungu nikimaanisha matunda baada ya chakula muhimu/..great ,,muwe tu macho mnaokuja kwenu najua kwenu kutabaki kuwa kwenu hata kama wazungu wanasema eden ya afrika kutabaki kwenu kazi kwenu mlioko uko...kuwen makini na kutuma vijidola kuna mtu MUNGU anisamehe wakati najenge akikuwa akipiga picha nyuma akila stage akanipa anampango wa kujenga kama yangu nikaona ni rafiki siku ya siku naambiwa amekimbilia south afrika kakake anakuja toka london nilikosa cha kusema nikaja kuambiwa alikuwa akizituma zile picha kwa kakake akimhimiza atume ujenzi umekolea unaitaji finishing nataman nimwone mpaka leo sijui frank amefia wapi..so hata mlio uko muwe macho pamoja na ustaarabu wetu dhiki aziishia kuliko mtu akujengee anaona atanue maisha na cha kushangaza akakimbilia kunua gari ambayo bahati kaka akufanikiwa kupata mteja mpaka kaka mtu anakuja....hiyo ni sample tu kuonyesha pamoja na kubeba mabox hali ya huku si sawa la maana msibebe mavi tu...hili nawaombea kwa MUNGU milele fanyeni kazi zote zile kuzibua mambo yetu aku sio kabisa hata kama yana hela najua wengi mmekimbilia manesi kwa wazee kushika shika vile excess baggage za wazungu lakini muwe nazo makini
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haya wao wabaki huko....na sisitunaokula vumbi na kunywa jua tukimbilie wapi?
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Halafu Pdidy mmna mwingine unakuwa kama '****'..sifikirii kama ni wewe au mtu kahack account yako...kila nikisoma mawazo yako kwenye hii sredi naona ni utumbo tu, badala ya kutoa mchango chanya unaandika utumbo hata kuelewa ni ngumu..nimesoma maoni yako mstari hadi mstari,sijaelewa...nimerudia sijaelewa..hivi una matatizo gani??

  Sasa naomba unifafanulie kwenye kipengele cha umri kwenye ajira kinasemaje...!!
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh,usiwatishe wenzako,..
  sidhani kama wamesoma ili waajiriwe
   
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Munghwai!!! holler at me.....congratulations mwanaboksi mwezangu,watu bado wana mambo ya kuajriwa??...kweli bado
   
 20. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mafuta ya gari hapa US ni $4.6 bei inatisha watu wengine wanaacha vibarua vyao manake hela yaishia kwenye mafuta. Mkuu nyumbani ni nyumbani. hapa US pia kupata kazi za professional labda uwe nurse vingine ni mabox mtindo mmoja ambapo mapato yote hushia kwenye malipo ya nyumba and other utilities. Maisha hata hapa sio lele mama zaidi ya watu wengi kula junk food
   
Loading...