Habari za usiku wanajamii,
Mie ni kijana nilikaa kwa mda mrefu sana bila mpenzi wa kike, nimekuwa nikikidhi hamu kwa kununua malaya, miezi kadhaa nikatambua napoteza pesa zangu bure. Basi nikaamua kumjali kutumia pesa zangu kuwa mtanashati na msafi. kwa bahati nzuri hapa chuoni nikaanza kuona wasichana angalau wananchangamkia.
Kuna kasichana karembo nkaanza nako mazoea nikawa nakajali nakanunulia nguo chakula na mambo mengine mengi na hata kakipata tatizo nilikuwa najiwahisha kumsaidia. Chaajabu nikiwa nae room kwake hostel nikimgusa ananiambia hataki eti marafiki watamkuta na pua alikuwa anaongea na wanaume wengine kwenye simu bila kuniogopa tena kimhaba.
Siku zingine namkuta na mwanaume wawili tu room kwake nikimuuliza ananiambia classmate wake tena ananiambia niwahi akaongee nae. mwishowe tumezinguana ni tumeachana hajanipa papuchi. Nimetumia gharama kama million nne kwake. Nlijua ukimjali mwanmke inakuwa safi sasa mbona nimefanyiwa ndivyo sivyo.
Nifanyeje wadau