Girl friend imepitwa na wakati

Girl friend imepitwa na wakati

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Ni wanaume wajinga tu ambao katika dunia ya leo bado wanapoteza fedha, mali na muda kwa mtu anaitwa girl friend. Hakuna haja maana vyote unaweza kupata bila kuingia gharama kubwa na tena kwa kupangilia.Jaribu kuwekeza fedha ambazo unampatia girlfiend wako uone kama haujawa billionea ndani ya mwaka tu.

Utafiti umegundua kuwa fedha zote ambazo wanawake wanaongwa zinatumika kumboresha zaidi ili aendelee kuvutia wewe na wengine tu. Pia utafiti umebainisha kuwa ndoa ambazo zilifungwa na wanandoa wapenzi 40% zilikufa ndani ya miaka 3 tu tofauti na ndoa ambazo wanandoa walioana bila kuwa wapenzi kabla ambazo zilidumu kwa 80% ndani ya miaka 3.

 
nh!! kwangu haya mapya ngoja nipite zangu....
 
Utafiti huo umekaa katika kujifariji nakuongeza masongo wa mawazo...hakuna dawa mbadala ya mapenzi,hata uwe bilionea bado utahitaji mapenzi...
 
Watu wakikosa sifa za kukubaliwa na wanawake wanakuja na tafiti mbali mbali za kutisha ili kukabili hali yao ya upweke,hii ni ishara moja wapo kwamba mdogo wangu unasumbuliwa na upweke wa hali ya juu sana.

Huu utafiti wako umeufanya ukiwa na msongo mkubwa wa mawazo baada ya kukataliwa na mpenzi wako au kukataliwa na wanawake kwa ujumla.

Umesema 40% zilikufa chini ya miaka 3,alafu 80% zilidumu ndani ya miak 3,maana yake zilikufa ndani ya miaka hiyo 3,sasa hizo za 80% zina tofauti gani na 40%?

Kweli upweke mbaya,usiwe na girl friend ili upige punyeto,sio? Hii inaitwa schizoid personality disorders,tafta mpenzi wa kike akufanyie therapy dogo uachane na msongo wa mawazo
 
Kama asilimia 40 zilikufa maana yake asilimia 60 zilidumu sasa asilimia nyingi ndio watu wafuate
 
Love is a sexual feelings which exist between two people of opposite sex- you know!
 
Back
Top Bottom