shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Kuna binti nilikuwa naye kwenye mahusiano ni mwaka sasa huyu binti nilifahimiana naye alipokuja ofisini akiwa kasahau password. Kufupisha stori tukawa kwenye mahusiano na kama kawaida nikaomba mzigo fasta akachomoa kuwa hajawahi sex na hana mpango wa kusex kabla ya ndoa yupo selaed.
Na jinsi nilivyofuatilia intelijensia yangu ikaonesha hana mahusiano nika propose ndoa akakubali kuwa akimaliza chuo June mwaka huu then mwezi wa tisa mwaka huu tunaanza na process za kutambulishana matatizo yaliyopo sasa.
1. Anadai kuolewa mpaka june mwakani akishapata ajira yeye anasoma education. nilivyokubali likaja tatizo la pili.
2. Anadai hawezi olewa mpaka dadayake aolewe. nikimuuliza dadayako ataolewa lini hajui manayake na ndoa yetu haijulikani.
Nahisi kitu kimoja alinidanganya kuwa bikira na hii kitu inampa shida hataki hata kuongelea tena toka aniambie nipo dilemma sababu kila siku lazima awasiliane na mimi na anaweza kuja kwangu hata bila kuniambia jamani mlishakutana masharti ya ajabu hivi au nimpotezee manake naweza pata mwanamke at any time hapa nilipo.
NB: Nilishawahi kumwacha akaja na dadayake kumuombea msamaha tukakubaliana mwakani kila kitu sawa.