Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba ushauri kwa yeyote yule MMU, Ninafanya kazi na mkaka ambaye tulikua wapenzi na sasa tumeachana. Kila ninapomuona nakumbuka mengi na mbaya zaidi tuko department moja kila siku tunaonana...
2 Reactions
164 Replies
14K Views
Mkiwa wapenzi ipo siku itatokea mara chache kutofautiana kwa maana ninyi si malaika. Mantiki ni kwamba hata kama mnapendana kiasi gani, haiwezekani kila siku wote mkawa mna mawazo ya aina moja...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mara kwa mara wadada wamekuwa wanawalalamikia wanaume kwamba hawawaoi kwamba siku wanawachezea na kuwaacha bila kujua wao ndio tatizo na chanzo cha kuchezewa. Wanawake siku hizi wamekuwa rahisi...
10 Reactions
86 Replies
13K Views
Niko na mchepuko na rafiki zake wa wili yan wako kama komba wanagida mvinyo kama wametukania leo.Mpaka saa hizi saa23:00 pm. Wameshatafuna laki unusu yani 150,000/ Na bado wanaonesha wako hai...
9 Reactions
94 Replies
13K Views
Wakuu habari, Mimi na mke wangu tunaishi maisha ya furaha, tumebarikiwa watoto wawili mapacha, mwanzoni mwa mwaka huu tumehamia kwenye nyumba yetu, plot hii ni wife ndio alinionesha na akasema...
7 Reactions
196 Replies
19K Views
Habarini wanajamvi, Nimeamua kuja na ID ngeni hapa, kwa unyeti wa suala lenyewe, ikizingatiwa kuwa nina miaka saba hapa JF tena ni verified user, sio kawaida hili ninalotaka kunena leo nikawa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari za mchana, Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nilianza kuishi na huyu baba baada ya kupata uja uzito. Nilikua kwenye mahusiano ya uchumba kwa miaka 3 na mtoto kwa sasa ana 2 years, ila bado...
4 Reactions
122 Replies
19K Views
Habarini wadau, Mwanaume anayejitambua hayafanyi haya yafuatayo:- -Kwanza hatumii maneno haya Mie, Aibu naona mimi, Nimekumisije, haloo, jamani, Inahuu, Chezea...na mengine ya hivyo -Hafurahii...
7 Reactions
98 Replies
16K Views
Wakuu habari, Jana nikiwa nimejipumzisha sebuleni majira ya saa moja na nusu nilisikia sauti za kujiapiza kupitia dirishani. "Nitakumaliza, usinichezee, wewe hunijui vizuri, endelea...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari watakatifu wote wa Jf, Najua kitambo sana sija salimiana nanyi so naombeni huduma ya kwanza katika maisha yangu, nilikuwa napenda kupiga punyeto/kujichua hili swala liliniathiri hadi...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Salamu wadau, Ikiwa mwanamke unampenda sana na unaona anakuzingua na mnafanya sehemu moja, nitumie njia gani kumwacha na kumsahau. Maana naona upendo wangu kwake nateseka sana.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu wote, Baada ya kuhangaika na wasichana wa kazini kwangu kwa muda mrefu bila mafanikio nikaona nibadilishe hali ya hewa, nitoke nje ya shirika kidogo. Nikapata binti mzuri na...
6 Reactions
102 Replies
15K Views
Mambo ya walawi 20 mstari wa 10 mpaka 17; 10;mtu azinie na mke wa mtu mwingine naam yeye azinie na mke wa jirani yake mtu mume azinie na mtu mke azinie hakika watauwawa 11;na mtu mume atakelala...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JF habari, Kwanza nina hasira sana, nimezaliwa miaka 24 iliyopita nimelelewa na mama tu, siku zote akisisitiza kuwa baba yetu alikufa Kabla hatujazaliwa (tupo mapacha ). Nikiwa mwaka wa kwanza...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
25 ndio miaka yangu, Richie ndio jina langu, Tabata ndio makazi yangu, natafuta mwanamke anayejua thamani ya kupendwa na anayejua kupenda kujali, sichagui umri maana umri ni namba tu. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana jf nilikuwa najiuliza tangu muda mrefu sababu ya wanaume wengi kupenda wanawake wanaolia wakati wa kugegeduliwa kumbe ni watamu na wanaleta msisimko maana dah aisee kweli mapenz ni matamu.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kichwa cha habari hapo juu kimeshajitosheleza hivyo kama kuna dada atakayekuwa tayari na kukubaliana na hali yangu hiyo ya kipato na atanivumilia nitafurahi kwani naamini endapo nitampata mwenza...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu, Mke wangu alipata matatizo ya kikazi miaka miwili iliyopita, kwa kifupi alipoteza kazi yake kutokana na makosa ya kiutendaji katika kushauriana ndani tukafikia maamuzi kwamba...
0 Reactions
117 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…