Mimba inaweza kuwa sababu ya kunichukia?

Mimba inaweza kuwa sababu ya kunichukia?

kinjumbi one

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
1,696
Reaction score
2,159
Salam wana jukwaa,

Siku chache zilizopita nilileta uzi hapa niliotaka ushauri kuhusu msichana wangu kunipotezea kiaina huku mi nikimuhitaji kupita kiasi. Ila kunajambo sikulisema kuwa pia ana ujauzito wa miezi 3, je kuna aina ya mimba huleta chuki? Ndio kusema ananichukia kila anionapo kwasababu ya mimba?

Msaada tafadhali
 
Unamwita mpenzi wako demu kweli wewe adabu huna anahaki akichunie tu
 
Duh huyo manzi yako kiboko,,,, Hapo kwenye aina za mimba kwani kuna mimba zinatunga kwenye makalio!samahani lakin :sad:
 
Duh huyo manzi yako kiboko,,,, Hapo kwenye aina za mimba kwani kuna mimba zinatunga kwenye makalio!samahani lakin :sad:

aina nilimaanisha tabia. nyengine uhisi kichefuchefu au kukojoa kila wakati au hasira etc.
 
Back
Top Bottom