Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Hiki kizazi kinanitia wasi wasi,ipo siku tutalazimishana hata barabarani.
Story yenyewe iko hivi, juzi jumapili nilikuwa maeneo ya Ubungo Maziwa, nikiwa kule mwenyeji wangu baada ya mazungumzo alinipeleka kwenye kipub flani hivi jirani tukawa tunakunywa bia, tulikuwa watatu na jamaa mwingine tunafahamiana, mwenyeji wangu ni mtu mzima ni mstaafu wa jeshi la wananchi, tukiwa tunaendelea na vinywaji vyetu pale, alipita binti mmoja hivi, kwakweli yule dada ni mzuri sana.
Yule dada kazoeana sana na yule mzee kwani walikuwa wakitaniana sana, mzee alimkaribisha pale mezani yule binti, kweli yule dada alikuja na wasiwasi akaagiza kinywaji pia, basi yule mzee mwenyeji wangu akawa anamtania,kuwa anapita mbali wakati vijana wazuri tuko pale na atujaoa.
Yule dada akawa anacheka tu ikatokea nikazoeana sana kwani nilikuwa nishamtamani, basi tumekaa pale mpka mida ya saa 6 hivi, kwakuwa siku ile pale sikuweza kuchukua namba za yule demu na nilikuwa nishamtani nilimcheki yule jamaa mwingine tuliokuwa nae kma anayo namba ya yule dada, kwa bahati nzuri akanambia anayo, sasa kwa bahati mbaya wakati anatuma hyo namba alinitumia namba ya dada mwingine nadhani majina kwenye simu yake yamefatana.
Kwakuwa nshaamini ile namba ni namba ya yule dada nikajitambulisha nikamkumbusha kuhusu siku ile usiku na mambo kibao,yule dada tukawa hatuelewani mie nilikomaa nae tu nikijua ni mbwembwe tu za madada, kwa kuwa hatukuelewana
Ilibidi tupange siku tukutane, tulipanga akanambia nimfate dukani kwake pale sinza madukani,tuonane,ana duka la nguo, kweli nlienda dukani kwake,aisee kweli yule dada hakuwa mwenyewe niliyomuona siku ile.
Sema huyu nae kidogo alikuwemo, ni mzuri mzuri, nikakausha pale nikapiga kiswahili kirefu kuwa tulishawai kukutana mwisho wa picha tulielawana fresh fresh, aliniomba nlibaki tupige story mpaka mda wa kufunga duka lake, baada ya kufunga aliniomba kwanza kabla sijaenda twende bar ya jirani tunywe hata soda, tumekaa pale mpka mida ya saa 5, akaanza kunilalia lalia pale as ni wapenzi wa mda mrefu.
Kituko sasa nlivyomaliza nikamwambia nataka niondoke,sikuwamini alivonambia eti naomba usiondoke nimeshalipia lodge nataka tukafanye eti, nilikuwa nakusubiria kwa hamu maana nina nyege sana, duu isee nilitafuta mlango wa kutokea faster,
nlibaki najiuluza hivi wanaume sikuhizi tumekuwa wa ghali kiasi hiki?