Yupi anaongoza mwanamke au mwanamme?

Yupi anaongoza mwanamke au mwanamme?

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Kati yao nani ni bingwa wa kumweka kiporo mwanamke au mwanaume? ''Maana ya kiporo'' yaani ni kuwa na wapenzi wawili alafu unawapima wote wawili yupi anafaa.

Alafu wote hawajuani unajiuliza sasa ni yupi nitamuoa na wote unawapenda. Lakini unamwangalia mmoja kati yao unasema huyu nitamuoa yule akiniacha. Kiporo ndio chanzo cha uchumba kuvunjika.
 
Mfano,nina mpenzi wangu.alafu nakuwa na mwingine wa pili.baadaye nawapima wote wawili.yupi anafaa.wote hawajuani.sasa ni yupi ntamuoa sijui.wote nawapenda.lakini namwangalia mmojaa nasema huyu ntamuoa yule akizingua.na kiporo ndo chanzo cha uchumba kuvunjika.sasa hujaelewa nn?
 
Last edited by a moderator:

hapa ndo umenichanganya zaidi
rubii naona nazidi kuchanganyikiwa
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kazi ipo asee... Huyu sijui katumia lugha ya wapi hii!?
 
Hapa naona wakongwe wa JF wameanza kurudi kwa nguvu mpya !!!

karibu omereyo

Mie najuaga kuwa kiporo kina chacha na kuvunda papohapo !!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom