Seriously natafuta mchumba

Seriously natafuta mchumba

Unatafuta mchumba mbona hujajieleza vizuri? unaishi wapi? vgezo gani yani ukisema unataka mke na hao wake wenyewe pia sikuizi wana chagua waume...ebu weka CV yako vizuri please.
 
Elezea vizuri hitaji lako ndugu.
1.wewe ni jinsia gani.
2.unataka mchumba jinsia gani.
3.umri wako na unataka mchumba wa umri gani.
4.kabila la mchumba kama unapendelea makabila.
5. Sifa za mchumba umtakae mfano dini,kimo chake,elumu yake,umbile lake kama mnene au mwembamba.
6. Sifa zako binafsi kama elimu,kazi,kimo,umbile.
7. Anuani yako unapatikanaje kama ni simu au barua pepe au posta unaweka.

Kwa ufupi fanya hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom