Marejesho: Mwanaume wangu yupo busy nifanyeje?

Marejesho: Mwanaume wangu yupo busy nifanyeje?

Habari za muda huu wana JF,asanteni kwa mawazo na ushauri wenu mlionipa.Jamaa alinicheck ingawa sijapata muda wa kuongea nae vizuri ila naamini mambo yataenda vizuri.Asanteni sana

Kwaiyo yameisha?
 
"Jamaa alinicheck ingawa sijapata muda wa kuongea nae vizuri ila naamini mambo yataenda vizuri" Unamaanisha nini?
 
swtybby

Ni baada ya yeye kusoma lile bandiko lako humu,
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa una maana gani swtybby!!
 
Last edited by a moderator:
usingeleta mrejesho kama bado hujaongea naye ya moyoni mwako, your feedback is useless for now
 
swtybby

Huu mrejesho unaambatana na habari ipi?
Naona nimeachwa njia panda
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom