Mgema ni mvunaji wa pombe na tembo bila shaka ni aina ya pombe, sio tembo mnyama katika muktadha huu, sasa mi ni prefessional videographer. Huwa pia nafanya video za sherehe kama harusi mengi huwa...
Ni msichana niliyeishi nae miezi kama 7 tulikua tunaishi poa tu badae kulitokea kutoelewana tukaishi mbali na mbali lakini kwakua nilikua nampenda sana nilimsihi na kujishusha yaishe, lakini yeye...
Habari zenu wanajamvi,
Kuna kitu kinanitatanisha kidogo. Najua mko kwenye tafakuri nzito kuhusu hawa watangaza nia naombeni niwapumzishe kidogo Ili (kufrash mind). Mimi ni mwanaume rijali niko...
Habari za kazi, na poleni na majukumu ya kila siku.
Katika maisha yangu niliyohishi hapa duniani nimekuja kugundua kitu ambacho kama mtu husipokuwa makini katika maisha haya unaweza kuja kuishi...
Habari za majukumu wapendwa, mmejiandikisha kwenye BVR lakini?
Anway, isssue iko hivi,
Jana nilimtembelea ndugu yangu pale UDSM, sasa nilivyofika akawa amenikaribisha room kwao, pale room kwao...
Kama huna jicho la mbali huwezi elewa ninachozungumzia. Mifumo ya maisha ya sasa, ndio chanzo kikuu katika migogoro iliyopo ndani ya ndoa. Mifano michache:
1. Muda huharibu sana ndoa; zamani...
Nitawasiliana na atakaye hitaji mawasiliano na mimi tuongee mengi tuwasiliane pm anitumie namba na mimi yangu 0683629183 napenda sana kupata rafiki serious wa umri huo nilioutaja,ili niweze kushea...
Mimi kama lauzi nimeshaoa ila kuna rafiki yangu yeye anahitaji mke vigezo vya mwanamke anayetakiwa umri 24 - 28 awe na kazi akiwa mwalimu itakuwa vizuri zaidi dini awe Muslim, mwanaume yeye ni...
Habari wanaJF,
Kusema ukweli nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo ambao unahusu kijitabia fulani cha wanawake ambacho ni muhimu zaidi kukifikiria na kukifanyia kazi kabla hujaingia katika maamuzi...
Hi? Iam a man, hereby looking a wife material who will marry me.So If you are a woman (any religion,colour,tribe,bachelor degree,age23-32,) warmly welcome,except who have a children.
Pm My age is...
Mazee Asilimia >kubwa ya nyuzi za wa-mmyu ni kuchepuka & kuchepukIKa...hiili inaonyesha ni kwa namna na hali gani 'ma-super animals-watu' WANAVYOCHEPUANA kwa kasi na ari mpya kabisa kabisa...
Wakuu poleni na majukumu
Mdogo Wa mke wangu ameolewa arusha, anaishi huko na mumewe na familia yake
Wiki iliyopita alimuomba ruhusa mumewe kuwa anakuja dar kwa Dada yake yaani kwangu, kwamba Dada...
Habari MMU,
Nimekaa nikaziangalia baadhi ya ndoa na nikatafakari kwa muda sana swala la ndoa nikaona mwanaume aliyenyanyua mkuu wake na kwenda kwao mwanamke akamtolea mahari mwanamke akaoa...
Mapenzi ni vituko kwa kweli..
Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa 4 nlikuwa na demu mzuri sana alafu mcha mungu sana, nadhani alikuwa na malezi mazuri sana uko kwao kwa tabia alizokuwa nazo nakumbka...
Ni hivi bila kupoteza muda, kuna demu mmoja tulikuwa tunakaa majirani sasa ikatokea tumezoeana kimtindo baada ya miezi miwili nikiwa nimerudi home Tz maana nilikuwa pande za kati, nikiwa nimekaa...
Wakuu,
The heading above is selfu explanatoryi,
Bwana arusi hana sababu za msingi zaidi ya kusema eti hana pesa ya maandalizi so wafunge tu ndoa basi warudi home bibie walishaanza vikao vya...
Siju nipo sahihi kiasi gani kujiita mgeni, ila nimekuwa nikiingia hapa kama guest kwa muda. Nimekuwa na hamu ya kutoa michango yangu zaidi ya kusoma tu michango ya wanajumuiya wengine hapa...
Mpenzi wangu alienda chuo Dar mwenzi wa pili mwaka huu na akanipa ahadi kwamba mwenzi wa sita atarudi mimi niko Mwanza huwa tunawasiliana vizuri. Lakini imefika hiyo tarehe nikamuuliza vipi...
Habari wana MMU,
Ni mda mrefu sijaja jamvini kuongea nanyi ila leo imenilazimu kwasababu nina tatizo linalonisumbua sana. Mwaka juzi nilianzisha mahusiano na dada mmoja hapa Dar na baada ya...