Mara mbili sasa katika mwezi huu wa June 2015 nimeshamsikia akisimulia story ambazo Mimi nakuwa nimeshaziona kwenye jukwaa hili.
Swali langu je huwa anawasiliana na muanzisha Uzi?
Au anawasiliana...
Hivi mtu mmeanza maisha mkiwa hamna kitu mmehangaika mpaka mmepata angalau nyumba na gari mkiwa mnajibana wote pamoja kwa ajili ya watoto wenu badae.
Unakuja kugundua mwenzako anachepuka tena...
Wakuu,
Huyu mama (shemej yenu) kwakweli kazidi kisirani. Kila siku mimi jukumu langu ni kumbembeleza tu na yeye la kwake ni kunitibua. Kifupi hapendi amani nachoka kubembeleza wakuu nakua nalea...
Ehhh ndio maana hamna namna, natafuta kampani.
Eeehhh ndio rafiki yangu kipenzi amefariki, RIP Jackson.
Na tukifunga chuo ntakua home tu kwakweli najua nna research ila ntahitaji marafiki.
Ndio...
Wakuu,
Jumamosi iliyopita mke wangu aliondoka kwangu kwa hasira, akachukua mabegi na mizigo yake yote pamoja na watoto wetu kurudi kwao. Kisa ni housegirl kunipeleka serikali ya mtaa kwamba ana...
Hivi huyu mwanaume nikimkandika mingumi ya haja na ya uhakika nitakuwa nakosea jamani?
Kadi yake ya mchango wa harusi kima cha chini kutoa ni tsh laki tano.
Mpaka sasa ana kama tsh milioni 20...
Poleni na swaum wana MMU
Kuna swala naomba niwashirikishe mnipe uelewa pale nisipoelewa,
Hivi hawa kina mama wanaojiunga na VICOBA ni mashari gani wanatakiwa kuyafuata wanapokuwa huko,Ili waweze...
EVERY WOMAN SHOULD READ THESE 30 RULES FOR GODLY WOMEN-----------------
1). Never raise your voice for any reason to your husband. Its a sign of disrespect.(Prov 15v1)
2). Don't expose your...
Nimeleta kama nilivyoikuta
"Kuoa au kuolewa kunabadilisha uhusiano wako na wazazi wako.
Mwanzo.2:24 anasema, "Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao...
Witu wengi ulalamika juu ya uwezo wa wao wa kufanya mapenzi hili limekuwa tatizo kwa wengi na wengine kutafuta madawa ya kuongeza nguvu,lakni suluhisho la tatizo hili ni Kuwa na mpenzi unaemtaka...
Kuna mdogo wangu wa kike (baba moja mama mmoja) aliolewa lakini katika ndoa ile familia yetu yote ilikataa kuwa pamoja na yeye kwa sababu mume wenyewe alikuwa haeleweki kwa tabia zake za kuoa na...
Habari wadau,
Mimi ni mfanyakazi wa Mkoa wa Mbeya. Ninaishi na mke kwa miaka tano sasa na tuna mtoto mmoja. Sijawai kuchepuka na wala kutongoza mwanamke japo wapo wanaonitaka kimapenzi kazini...
Naitaji msichana mrembo ambaye yupo tayari kwenda kisiwa Ndui Zanzibar kama kampani yaani tour guide nitalipia kila kitu juu yangu. Nitakaa wiki moja then nitarudi na kwenda. Ngorongoro na Manyara...
Hii ni kwa wanaume, kumekuwepo na mijadala mbali mbali juu ya je ni size gani ya uume yafaa kwa wanawake wengi wamekuwa wakiumiza vichwa mpaka wengine kujiona wanyonge mbele ya wanawake.
Lakini...
Najua idadi yetu ni kubwa humu hata kama sio kubwa itatusaidia kuwaambia wengine.
1. Mwanaume ni mtu kama wewe jinsi unavyopata tabu kutafuta hela nayeye anapata tabu hivyo hivyo.
2. Hujaolewa...
Vai: Nimeolewa nina mtoto mmoja, mme wangu anapenda sana kushika shika makalio yaani akiona niko mtupu tu basi bora anishike hata makalio aridhike, sikuogopa nilijua mwili wangu ni haki yake...
wakuu hamjambo? nina jamaa yangu kaniomba ushauri so nami nikaona nizid kuuliza kwa ufafanuzi zaid, Anataka kujua yeye huwa mpenzi sana wakunywa pombe zile kali hasa hasa valuu na konyangi the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.