Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini, wapendwa, Kichwa cha habari chahusika. Kwa jina naitwa Nathan, nipo Dodoma nina 23 years, rangi maji ya kunde, mrefu kiasi. Nahitaji girlfriend, awe mrefu wa wastani, dini sichagui...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Wana Jf, Umuofia Kwenu, Katika kundi la wanaume waliohojiwa kuhusu nani anajua kupenda kuliko mwingine kati ya mwanamke na mwanaume. Kundi kubwa kura imeangukia kwa mwanamke kuwa ndiye anajua...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Ni vizuri tukipeana uzoefu kama tunavyojua kila mwanadamu ameumbwa na hulka yake ambyo nI ngumu sana kuibadili kwa haraka tukija kuangalia sasa kwenye suala zima la mapenzi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Alinitamkia kuwa ananipenda, kipindi penzi likiwa motomoto, kwa mdomo wake tukiwa kwenye mtoko beach tumejiachia alinambia hivi "Sweety ninavyokupenda hivi, ikitokea ukaniacha nitaumia sana, kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello wanajamvi, Very soon tutasherekea miaka mitano ya ndoa yetu. Maisha ni mafupi kwahiyo hatuna budi kusherekea every bit ya maisha maana ukisema usubiri usherekee miaka 25 au 50 au mingapi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Natafuta mke wa kuoa, mimi najitegemea, ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30. Mke nimtakae awe miaka 28 nakuendelea.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu binti bado sijamuelewa lengo lake haswa ni lipi, mana kila nikijaribu kumpotezea basi itapita hata miezi mitano utashangaa anarudi na swaga zilezile za mapenzi, hatujawahi kuwa wapenzi na...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Hali zenu wana jamvi, Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu. Hakuna asiye jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno...
0 Reactions
230 Replies
31K Views
Leo hiii leo
2 Reactions
64 Replies
11K Views
Nimeiona huko IG,ila nashindwa kuamini ndo maana nikaona niilete huku,je Ni kweli au Ni maneno tu? Mawazo yenu tafadhali.
0 Reactions
36 Replies
4K Views
We can count the dough or kick a flow or chill out watchin videos or actin really silly yo, but really doe all that can end... Whether at the bar with superstars or cruisin in the trooper car I...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Two-wheel drive: German eBay user 'der.juli' took power tools to all of his possessions after being dumped by his girlfriend - cutting everything in half including his Opel Corsa It may sound...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Nimekuwa naskia tu "kapewa talaka 3 " nk lakini sijui inamaanisha nini, na huwa inaandikwaje kiujumla. Wenye uzoefu na ujuzi hebu nielimisheni.
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Hivi inakuaje jamani mtu anampa mimba binti wa watu alafu anaikataa kwa kisingizio eti sio chaguo lako, kwani ulivyomfwata alikua chaguo la nani fikiria angekua ndio ndugu yako kafanyiwa hivyo...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Salaam wana JF, Mimi naomba nikiri nina ugonjwa wa kupenda wadada wenye hips, yan hata kama ana sura mbaya lakin ana mahips, basi mi hoi! Awe ana hips halafu nyuma amefunga kibantu basi hapo...
0 Reactions
52 Replies
13K Views
Hii ni mahususi kwa wale wote ambao walikuwa na shauku kubwa ya kutaka kumjua 'Jimmy Mcmelle' ni mtu wa aina gani, maana nimepitia Comment nyingi za watu huku wengi wao wanaonekana wanafuata...
4 Reactions
82 Replies
20K Views
Hi..member wa Jf wiki ijayo nategemea kwenda mbeya kwa mambo yangu ya kikazi na takaa wiki mbili naomba kwa kupata mchepuko wa mda tuu wa wiki mbili tuu kwa aliye tayari ani Pm haraka nafasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno gani?, labda hivi...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
I have ample time for white girls, hook me up let's have fun.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili ni la uzoefu! Baada ya kutoka kazini nikapitilizia kwa shehe kuuliza taratibu za talaka kiislamu nikaelekezwa, mtoto wa kiume nikamkutae mama mkwe (maana baba mkwe, wife sikuwakuta) nikampa...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom