vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Hii ni kwa wanaume, kumekuwepo na mijadala mbali mbali juu ya je ni size gani ya uume yafaa kwa wanawake wengi wamekuwa wakiumiza vichwa mpaka wengine kujiona wanyonge mbele ya wanawake.
Lakini ukweli wa mambo ni kama ufuatao;
1. Ni kweli kuna binadamu wana maumbile makubwa kuliko kawaida hii ni kwa wanawake na pia kwa wanaume.
2. Kuna binadamu wana maumbile madogo sana pia wako pote kwa wanawake na pia kwa wanaume.
3. Hivyo kila size ya umbile la mtu yupo mwenzake wa jinsia tofauti.
4. Mwanaumewa size yoyote anaweza anaweza kumlidhisha mwanamke kwa asilimia 100 swali la kujiuliza kivipi mwanamke ana rambo wakati mpenzi wake ana kipisi za sigara itakuwaje? Jibu la swali hilo ni kuwa mwanamke anaweza kufika kileleni kupitia namna tatu tofauti ambazo kwanza ni kupitia kuongiza uume ndani ya uke moja kwa moja pili kupitia sehemu iitwayo Gspot na tatu kupitia pale juu kwenye kine.mbe, wanawake wengi hawajitambui huwa wanapata vipi.
Kwahiyo kama mwanaume una uume mdogo inaweza kumsugua mpenzi wako pale juu bila kuzama ndani zaidi unaweza kuingiza kichwa tu kidogo kwa ndani maana pale juu kuna hisia kali sana kwa mwanamke. Uhayani wanakitu kinaitwa katerero mwanaume anashika uume wake na kupigapiga kine.mbe mwanamke anaweza kufika kileleni hadi akatoa maji mengi, niishie hapa kwa ufupi. Mwanaume yoyote mradi anasimamisha anaweza kumridhisha mwanamke
Nitaendelea wakati mwingine
Usiku mwema