huwa najitaidi kufanya hivyo na uwa matokeo yake kwangu ni mazuri sana,Na wewe huwa unafanya?
Mimi nisipokuwa na hela hata kama mpenzi niliyenaye namtaka au kumpenda siwezi ku perform vizuri aisee.
Hebu nisaidie kwa hili kwani hela huwa zinanipa confidence sana.
Tatizo umezoea kuhonga ndo maana una loose confidence. Jiamini .... kila kitu kitakwenda sawa!!
Sio kweli hata sihongi ila nikiwa sina hela mfukoni confidence inapotea kabisa aisee. najiona uchi kabisa.
nahisi nahitaji mtu wa kunitoa hapo.
Sio kweli hata sihongi ila nikiwa sina hela mfukoni confidence inapotea kabisa aisee. najiona uchi kabisa.
nahisi nahitaji mtu wa kunitoa hapo.
kama una madeni ya pesa hata ujiandae vipi fikra zitagoma..