hivi tanzania.........

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
hamna ma -lady boys,mbona tangu nakua sijawahi kuwasikia au wanafichwa??????????i would like to meet one so i can get in some new adventures.......:redface::redface::wacko:
 
Nyani Ngabu it refers to a transgender
person or an effeminate gay male.

Mhh..bidada is in nid of new adventures...kachoka kina sie.
 
Last edited by a moderator:
Tarlisha...hiyo inasimama??!
N wat fascinates u abt em ladyboys???!
 
Last edited by a moderator:
Kuna alietangaza anatafuta mchumba (nilivyoelewa anataka mwanaume), akasema yeye ni shemale. Hebu mtafute mshawishiane labda atakukubali.
 
ivi hawa si unakuta wana genes xxy ama yyx? mara nyingi sana huku africa hawapo kwasababu ya geographical location and type of our evolution. fofr your informatin african evolution is more + compared to Asians and Europeans. for that matter extente ya gene mutilation ni ndogo huku kwetu na simply ni kwasababu tuko along the equator na hii ni hata kwenye wanyama na mimea yetu.

ukimkuta mmoja ujue huyu kaja ila wa kuzaliwa mpaka leo tuna case ya kuwa na mmoja tu ambaye nilimsikia naye alifanyiwa upasuaji huko india ili kurekebisha.
 
Nawazaga nini plastiki Kati ya matiti na mtaribo.
Maana kila kitu inaonekana ni "real"
 
Unamtafuta Caster Semenya wa bongo sio? Ngoja tuendelee kupiga chabo huenda akajitokeza!
 
ivi hawa si unakuta wana genes xxy ama yyx? mara nyingi sana huku africa hawapo kwasababu ya geographical location and type of our evolution. fofr your informatin african evolution is more + compared to Asians and Europeans. for that matter extente ya gene mutilation ni ndogo huku kwetu na simply ni kwasababu tuko along the equator na hii ni hata kwenye wanyama na mimea yetu.

ukimkuta mmoja ujue huyu kaja ila wa kuzaliwa mpaka leo tuna case ya kuwa na mmoja tu ambaye nilimsikia naye alifanyiwa upasuaji huko india ili kurekebisha.

mwalimu anajipambanua katika vingi bana!LOVE U SIS!
 
Mwalimu samahani siajelewa unaongelea watu gani ambao hawawezi kupatikana kwenye maeneo ya ikweta!!
Hebu dadavua tena aisee..manake hii issue ya lady boy mie naona kama siielewi elewi!
 
ngoja nmjibie,manake Asprin alishasema sie tunajibiana maswali!
mleta thread anasema anatafuta kama tanzania wapo ma shemale !sasa sijui ushawahi kuwaona maeneo pacha wangu!
 
Imebidi nigoogle pacha..lol
Kwa kweli kama mleta thread akiwapata kwa bongo nitamuomba aniPM nina maswali nataka kuwauliza...
 
miaka flani morogoro stendi ya sabasaba kulikuwa na konda wa type hiyo nenda kamcheki kama bado yupo.
 
hivi huyo dada ana K? napenda kujua kama ni mwanaume mwenye shepu ya kike au ana jinsia mbili.

EDIT: nilisahau kumuuliza gfsonwin, mie ninavyojua abnormalities nyingi huku afrika hazitangazwi na watoto hutupwa, thats y cases huku ziko chache sana. hiyo genetics za afrika kuwa tofauti na europe/elsewhere hai-account for the lack of abnormalities, yaani africa nzima hizi cases hazipo kabisa, no way. nisahihishe kama nimekosea.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mtu alikuwa anaishi Tabora back then alikuwa anaitwa Moshi; she was she primary (mwenge) n secondary (Uyui) l am told now ameoa maeneo ya Sinza!
 
ivi hawa si unakuta wana genes xxy ama yyx? mara nyingi sana huku africa hawapo kwasababu ya geographical location and type of our evolution. fofr your informatin african evolution is more + compared to Asians and Europeans. for that matter extente ya gene mutilation ni ndogo huku kwetu na simply ni kwasababu tuko along the equator na hii ni hata kwenye wanyama na mimea yetu.

ukimkuta mmoja ujue huyu kaja ila wa kuzaliwa mpaka leo tuna case ya kuwa na mmoja tu ambaye nilimsikia naye alifanyiwa upasuaji huko india ili kurekebisha.

kwenye genetics haipo
 
hivi huyo dada ana K? napenda kujua kama ni mwanaume mwenye shepu ya kike au ana jinsia mbili.

EDIT: nilisahau kumuuliza gfsonwin, mie ninavyojua abnormalities nyingi huku afrika hazitangazwi na watoto hutupwa, thats y cases huku ziko chache sana. hiyo genetics za afrika kuwa tofauti na europe/elsewhere hai-account for the lack of abnormalities, yaani africa nzima hizi cases hazipo kabisa, no way. nisahihishe kama nimekosea.

kuna gene manipulation ambaazo haziwez kutokea africa sababu zikiwa kwanza ni geographical location mfano, wazungu ni ngozi nyeupe genes zao ziko kwenye nchi za north and south pole huwez kukuta watu wa ikweta wamezaa mzungu labda watazaa zeruzeru. je umewah kujiuliza kwanini? na pia kwanini mtu mweusi hata aish miaka elfu ulaya kama ataendelea kumarry mweusi mwenzie basi atazaa mtu mweusi? ukipata jibu hapo basi utajua kanini hawa shemale kwa huku kwetu huwez kuwapata.
 
Back
Top Bottom