Ushauri hapa unahitajika

Ushauri hapa unahitajika

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
We ni mwanaume umeshamcheat mkeo zaid hata ya mara kumi na manyanyaso madogo madogo ye anakuangalia tu sababu kashapigana sana...kashakuonya sana lkn unaonyesha humpendi yaani kama umemchoka fulani hivi.

Sasa mkeo kaona aanze mambo yake kunywa anarud saa nane siku ingine anakukuta ndani nahisi na hukohuko akapata bwana.

Lakini we hujui na cm yake hushikagi kwanza lakini kuna siku ukakumbuka utam wa mkeo ukaona ngoja umfatilie kidogo hamadi unakutana meseji kwenye cm ya mke wako mpendwa mliyeapa kwa shida na raha mtapendana untill death do u apart.

Tena meseji nzito anamwambia jamaa yake "nimemiss unavyonikojoza" mana huku naguswa tu jamaa kazubaa sana yn hafikishi, Keshokutwa tukapeane wangu.

Hapo kashakufumania sana wewe na anajua bado upo na mahusiano na hawara yako mmoja na mnajiachiaga huko mjini.

Hivi hapa ungekua we ndo mwanaume unafanyaje na je huyu mwanamke nimfanyaje nimuache nimkate hichi kiungo chake cha uzazi, nimpoteze duniani au nimfanyaje.

Kanidhalilisha sana kusema eti sifikiagi, huyu ni mwanaume analalamika.

Hivi tumshaurije huyu na huyu dada je..:wacko::wacko:.
 
unamaanisha yani kila mtu aendelee kuchepuka au....:A S wink:
 
"For every effect there is a cause". Nadhani jambo la msingi ni kukaa pamoja na kuongea jinsi gani ya kuondoka hapo mlipo. Kama ikishindikana adaeni sherehe ya kuachana na kila mmoja amtakie mwenzio "kheri & baraka" Nje ya ndoa yenu.
 
Hapo mi naona ni kuachana tu. Maana kila mtu amepata sehemu ambayo anapata starehe zaidi; kwa hivyo bora kila mtu akaenjoy huko. Waachane kwa heri (bila shari) kabisaaaaa.
 
Umkate kiungo chake cha nni???
Si anakitumia kwa uhuru wake kama wwe ulivoenda kucharaza huko nje,
Ngoma droo, kila mmoja ale kitu inapenda,
Mkishindwana kila mmoja achape lapa
 
Aliyetoa hela katoa hela bandia na aliyeuza cheni katoa cheni fake kwa watoto wa mjini wanasemaga ni ngoma drooo..
 
Mkuki kwa nguruwe..hahahahaha.
Wanaume hawapendi kushindwa. Anapenda afanye yeye tu mwenzake awe zoba.mwambie akate cha kwake ambacho akimpi raha mwenzake.
 


Sasa mkeo kaona aanze mambo yake kunywa anarud saa nane siku ingine anakukuta ndani nahisi na hukohuko akapata bwana.



images
 
wewe utakuwa ni chiz yaan umuuwe mwenzio mbona yeye hajakuuwa na utambue sababu ya yeye kuchepuka n wewe kama ungekuwa umetulia na kuridhika yasingetokea chakufanya kama bado mnapendana elewanen kila mmoja aachane na mchepuko wake na kutilia
 
Back
Top Bottom