Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

(By Robbie Dillon) Trust me, as you get older, sex drops further and further down your list of relationship priorities. I moved in with the love of my life a couple of months ago. She’s smart...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi ni mnywaji, kwakeli ninapigapiga, nimechoka kukaa na mke, napenda nikae peke yangu, ila akisafiri huwa na sumbuka sana, siku mbili bila kula si ajabu tena huwa nimeonja, nifanyeje? Napenda...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
kuna mwanamke nilimwambia kuwa nina maisha magumu akanijibu kuwa nimwambie ukweli asije jutia je ipo vipi hapa
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Mimi ni msanii wakuigiza yani studenti of the year or drama. Napenda sana kipaji hiki ila suport hamna japo mafanikio yapo.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wanawake wengi huwa na tabia ya kulalamika wamechoka katikati ya mechi au kwenye harakati za goli la pili, ili hali mwanaume amejipanga kucheza mechi kuu. Utamsikia "Humalizi tu, mimi nimechoka"...
6 Reactions
152 Replies
24K Views
Ndg wana Jf uzoefu wangu unaonesha kuwa watu wengi hutambua au kubaini upendo kupitia thamani, sehemu kubwa ya kundi hili ni lile lenye jinsia ya "KE" Hapa mtanikosoa lakini ndiyo mtazamo wangu na...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Nakupenda kwa dhati ila usiniumize mi nikipenda nimependa kweli haya yalikuwa ni maneno niliyoyakuta kwenye simu ya mpenzi wangu tar. 07/07 mwaka juzi. hapa ni baada ya kunipa simu yake...
1 Reactions
60 Replies
14K Views
Habari zenu wapendwa, Hivi kwanini mwanamke mwenye mapenzi ya kweli humpata mwanaume asiye na mapenzi ya kweli na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli hupata mwanamke asiye na mapenzi ya kweli...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanawake wengi wanapenda wanaume wenye magovi,, kuna jamaangu anafaid kwel sijui ni kwel?
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Igweeee! Wanawake ama kweli mwalimu wetu kipofu. Unakuta mwanaume ana lengo na wewe zuri kabisaa, anataka kukuboreshea maisha uishi kama Dubai bongo hii hii, unamnyali, unamdengulia kisa mbaya...
17 Reactions
220 Replies
32K Views
Hivi kuna ubaya mwanamke kutembea na haka kisu kidogo maana hata wanaume hutembea nacho.?
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wana JF! Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya! Kuna jamaa...
1 Reactions
98 Replies
29K Views
Habari za saa hii wana MMU, Ni wiki sasa tangu nije na mkasa wangu kuomba ushauri hapa tujikumbushe."Nilienda nyumbani kwa wazazi wangu kuwapa taarifa ya kutaka kuoa kikao kikaitishwa familia...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Nahitaji mwanamke Sifa; Anayejitegemea,mcha Mungu,mtulivu na asiye na tamaa. mwonekano mzuri umri 20-32 mnene au wastani. Aliyetayari atume (PM) private message
0 Reactions
30 Replies
4K Views
No sex before marriage is a beautiful thing man, both ethically and religiously. And i would love to practice that when my time comes about 6, 7, or never years in the future. But for a no Jonas'...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Dodoma. Mwaka mmoja sasa nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana hapa Dodoma hakuwa na tatizo na kutotahiriwa. kwangu lakini ni wiki moja sasa...
0 Reactions
126 Replies
24K Views
Chukua taadhali kuu unapojiunga, unapoombwa mwaliko wa urafiki nk kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook. Kuna hili kundi la wenzetu watoto wa kitanzania ambao sio rizki katika facebook...
2 Reactions
47 Replies
17K Views
Wanajamvi,samahanini naombeni ushauri wenu. Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu miaka sasa lakini mwaka juzi alinipigia simu akiwa kwao Arusha akaniambia kuwa ana mimba na mimi nikahakikisha kweli...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni binti tuliojuana naye kwa muda wa kama miezi minne sasa, tulianza kufahamiana kupitia WhatsApp, tukachat muda mrefu mpaka kufikia kuwa wapenzi, japo tulikuwa mikoa ya mbali. Tulitumiana picha...
0 Reactions
98 Replies
11K Views
Nimekuja kuomba ushauri wapendwa, Kuna jamaa nampenda mpaka basi lakini vitendo vyake sio nimevumilia mpaka nikaonekana boya kwa marafiki zangu ila now vitendo vyake vinanifanya nikose amani...
0 Reactions
186 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…