bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,335
- 404
Mimi ni mnywaji, kwakeli ninapigapiga, nimechoka kukaa na mke, napenda nikae peke yangu, ila akisafiri huwa na sumbuka sana, siku mbili bila kula si ajabu tena huwa nimeonja, nifanyeje? Napenda kukaa peke yangu, ila wife yeye ananipenda hapo tu angekua ashaondoka zamani.
=====
Kuna mtu kaandika thread hii, inaonekana nilikua sija signout!
=====
Kuna mtu kaandika thread hii, inaonekana nilikua sija signout!