Habari zenu wana Jf,
Inaanza hivi- kuna mdada aliniomba urafiki facebook nami nikamkubalia kumbe ananijua personally but mie simjui kabisa alinitext punde tu nilipo accept friend request yake ndo...
Wadau heshima zenu,
Mwenzenu naishi kwenye nyumba za kota za watumishi wa uma some where hapaa Dar es salaam tukiwa ndo tumehamia tu miaka miwili iliopita tulikaribishwa na jirani mmoja matata...
Wana jf,
Hebu tutoe mtazamo.
Kwenye mapenzi asilimia kubwa hua scale haibalance kuna upande unakua umezidi iwe me au ke lakini utakuta yule anaependwa lazima awe na vitimbi na mashauzi ya hapa...
STORY: NITAKUFA NAE
MTUNZI: JK Mdharuba
+255 718 274 130
+250 726 023 140
mdharuba@gmail.com
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★...
Eid mubaraka wakuu,
Leo kidogo tushauriane yamenifika kwa kweli,
Ni hv nina mdg wangu kamaloza form four na kafaulu vizuri tu Dv 1 kapagwa na shule lakini bado hajareport
Yameenda wee nimegundua...
Habari za asubuhi JF, Natumai mu wazima na familia zenu hazijambo.
Niende straight to the point kuhusu mada yangu. Kiukweli motherhood sometimes inakuwaga mtihani kwangu. Lol. Na kwa hili...
Naishi mwanza, elimu yangu ni kidato cha 6, nina miaka 24, ninafanya vibarua vya muda kupata riziki, sina mpenzi kwa sasa ila nahtaji mpenzi mwenye sifa zifuatazo: 1. Asiwe mchoyo wa penzi 2...
Mwenzenu hili jambo linanitatiza na kufanya nikate tamaa juu ya haya matamanio yangu.......kwa kweli bila kuficha wala kubebanisha maneno, niwe mkweli tu, nampenda sana mwanamke mwenye...
Habari wanajamvi?
Mimi nna mwenzi wangu ambaye tumepanga kutambulishana kwa wazazi mwishoni mwa mwaka huu. Huyu binti ambaye natarajia awe mke wangu tulijuana zaidi ya miaka 6 ivi ila si kama...
Mimi nina umri wa miaka30 natafuta mke wa kuoa anaetoka morogoro sehemu yoyote. Awe tayari kuishi katika mazingira yoyote. Ni pm au nitafute kupitia email sethrodney21@yahoo.com
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30, natafuta mke wa kuoa, mwenye mapenzi ya kweli, mwenye umri 20-30.
Atayekua tayari ani Pm kwa mawasiliano zaidi
Asanteni
Matatizo wanayopata nimakubwa mno mimi kuna dada tulikua tunasoma nae siku hizi anajiuza na toka aanze kujiuza saizi ana miaka kumi. Siku moja nikamuuliza nafahamu hii kazi yako umeanza muda mrefu...
Huwa nakaa na kujiuliza hivi mahakama ya mapenzi ingekuwepo ingekuaje? Je, kesi zake zinge outweigh zile za the Hague..maana kila leo utasikia huyu kafanywa hivi na mapenzi na yule kafanywa vile...