Nampenda tatizo ananibania penzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda tatizo ananibania penzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Inno laka, Aug 8, 2012.

 1. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,581
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,636
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Kama unampenda kwa dhati...na anatimiza mengine kama mpenz wako. Then suala la ku-do sio big deal sana..
   
 3. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,213
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Hamia Airtell.
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Utakuwa unamtamani zaidi, ingekuwa kweli unampenda isingekupa shida kuwa umenyimwa penzi.
   
 5. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa mwaka tu unaanza kulalama watu wanasubiri five years! kumpenda mtu sio ku do tu..
   
 6. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo umenena vizuri sana.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi mwaka huu 2012 kuna watu bado wanabania penzi aiseee
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,897
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa kwenye mahusiano toka 2008 hadi leo ila hayo mambo sijafanya kwani nampenda kweli kuhusu kuduu hayo ni mambo ya baade kidogo kwanza jenga upendo ndio ukimbilie kuduu waweza wahi then ikawa mwisho
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,951
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180

  Little Angel mzima ww?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. m

  masabo Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka ishue za maana huku si mambo aambayo hayana mbele wala nyuma.
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,951
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Aaah! babu we piga chini huyo, mbona wengine aliwapa?!! ........au ni bikra?!!
   
 12. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hello Maprosoo mi mzima. am so hap kuona ile kitu yet haipo. thank you sana
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,951
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Hahahahaha .......... poa poa,nafurahi kuckia hivyo, ila mbona hujanisifia handsome?
   
 14. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hujamfanya akutrust yet..slow down..
   
 15. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nilikua nasubir ujibu salamu kwanza. hilo yabasamu tu mi hoii. unauza sura ile mbaya handsome wangu
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  samtimea unamnyima mtu sababu ? ? ? ?
  Sio kwamba humpendi.
   
 17. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Love as an indescribable inner feeling, I believe, can only be demonstrated physically kwa sex. Kwa wanaume wengi, mapenzi yanabaki kuwa ni porojo kama hayajawa demonstrated kwa kufanya physically.
   
 18. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,001
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  ebu mpe maufundi uyu braza etu... nyie mnapenda kudanganya ndio mnaelewaga.. thi ndio eeh
   
 19. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hahaha...sumu yake sio kali bana hadi dada hajafa hajaoza bado anahema.,.
   
 20. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,168
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Humpendi, Umemtamani. Kama unampenda, utamsikiliza na kuheshimu msimamo wake.
   
Loading...