Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 461
Unakuta wapenzi wanatembea barabarani sijui kitaa wenyewe wanasema alafu wanashikana shikana ovyo barabarani sijui kutekenyana sijui nini wenyewe wanajua.
Ni kwamba mnataka kutuonyehsea mnapendana sana au kutuonyesha nyie ndo mnajua mapenzi sana au ushamba tu wa kukopi uzungu ushuzi.
Kwani nyie wenyewe hamjui ka mnapendana mpaka mkaonyeshe kwa watu barabarani, mkikaa uko chumbani kwenu amuwezi kutekenyana?