Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kjkjkjkjkj
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Maisha magumu??Maisha yamekuwa rahisi??Ustaarabu wa ulaya??Kuwa na mategemeo yakupata mkwanja? Ni nini hasa maana Wanawake baadhi yao kutongozwa leo na kumegwa imekuwa kawaida sasa sijui nikati ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni mke wangu ana uadui mkubwa na mamaangu kisa alipochepuka mama hakupenda nimsamehe mke wangu na niendelee kuishi nae na tuna watoto wawili jamani nifanyeje?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A man can fall in love through his eyes while a woman through her ears!
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu popote mlipo. Kama kichwa cha habari kinavyoku elert. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Nimemaliza chuo cha DIT mwaka 2012. Mwaka 2013 nikabahatika kupata kazi mkoani...
9 Reactions
92 Replies
11K Views
Habari wana jamii forum, Ngoja niende direct to the point, kuna kipindi niliwahi kuweka bandiko hapa la kutafuta msichana ambaye Mungu angependa tungeweza kuoana,bahati nzuri wasichana wengi...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Kichwa cha habari chajieleza, Kutokana na jeuri aliyonayo mke wangu,natafuta mwanamke atakayenifariji kipndi hiki kigumu hukunikitafuta njia za kuachana na huyu mwanamke coz nimechoka sasa! Kama...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu, Asanteni sana wana member wa Jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa Rose na anasifa zote...
8 Reactions
100 Replies
10K Views
Habari zenu wanajamvi, Mimi ni mgeni katika jukwaa. Nimejiunga humu kwajili ya kuomba ushauri tu. Katika familia yetu mimi ni second born. Ambapo tumezaliwa watoto watano. Kaka yangu...
1 Reactions
106 Replies
12K Views
Mimi na mpenzi wangu tumefahamiana tangia tukiwa wadogo maana sisi ni family frieds ila namzidi kwa miaka 4 na kwa sasa ana soma Diploma mwaka wa katika chuo cha Utumishi wa Umma. Uhusiano...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Wapendwa wana Jf nawasalimu, Ndoa yangu ilifikia ukingoni rasmi mwaka Juzi 2013 mwezi Februari, hata hivyo kabla ya hapo tulikua tumetengana kwa karibu mwaka mmoja nyuma. Chanzo cha ugomvi wetu...
113 Reactions
499 Replies
55K Views
Amepatikana
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nilishaoa, ndoa ikavunjika 2013,miaka 36, mrefu wa 6ft, handsome, msomi nina degree, naishi Dar. natafuta binti wa Kisukuma/Kinyamwezi awe mrembo mweupe mrefu angalau 5.5ft, mkristo, elimu kuanzia...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
KUNA USEMI KUWA KILA BINADAMU ANA HISIA,SASA SI JAMBO GENI KUSIKIA MWALIMU WA KIUME ANATEMBEA KIMAPENZI NA MWANAFUNZI WA KIKE(INGAWA NI KOSA KISHERIA)JE,KUNA UWEZEKANO MWALIMU WA KIKE NAE KUWA...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
She wrote a note that said "You ever had sex before?" Damn I wrote back and said: "of course I had sex before" Knowing I was frontin' I said, "I'm like a pro, baby," knowing I was stuntin' But if...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefanya kazi kwenye makampuni mengi ya uchimbaji madini, kwa miaka takribani mitano bila kujenga nyumba, kila nilipofika nyumbani kwa ajili ya likizo baba alikuwa ananiuliza swali ambalo...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we, Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake, mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we, Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake, huenda akawa Obama, atawale...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
what will your reactions, suggestions be?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini, Nina ndugu yangu askari <ke> alipigiwa simu na namba asiyoijua <2013> akidai amekosea namba ila anapenda wafahamiane tu ndugu yangu hakusita wakafahamiana ila hakumwambia cheo/kazi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…