kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 227
- 285
Jamani nisaidieni mke wangu ana uadui mkubwa na mamaangu kisa alipochepuka mama hakupenda nimsamehe mke wangu na niendelee kuishi nae na tuna watoto wawili jamani nifanyeje?
sasa mkuu mbona hueleweki. umeanzisha post upo uk unaogopa kuja kuoa bongo,sasa apa tena unasema una mke! ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, MWEUSI!