nimeshindwa kuielewa chemistry ya wanawake.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,639
me wanawake cwaelewi kabisa..ukiwa unamtongoza wkt akiwa kwenye miaka yake ya mwanzoni mwa 20 full nyodo yani..unaweza ukamtext leo akakujibu jtano ijayo au hata kama uko na uhusiano nae hana time ya kukutafuta ni mpaka we mwanaume umuanze..sasa akifikisha miaka 25+ kibao kinageuka...kila saa hata cmu ambazo hazina mpango mara baby umekula,baby kazi njema nakupenda eeeh na blah blah zingine kibao..sasa najiuliza chemistry ya hawa watu ikoje...na ni vizuri cc wanaume tukawavizia wakiwa wamefikisha miaka hiyo 25 na kuendelea ndo tuanze kuwatongoza au vp maana ndo umri unao onekana wengi wao kuwa na mapenzi ya dhati?
 
Hahaha dah! Pole sana brother, we endelea kuwavizia tu. Unaweza kujaribu hii mbinu pia

Heart-throb? Never! - Black and ugly as ever- however/
I stay Coogi down to the socks, rings and watch filled with rocks/
And my jam knock in your Mitsubishi, girls pee-pee when they see me..../

from his 'highness'. Kama hauwavutii usiwaze sana, tafuta hela halafu purchase some game. Labda unaweza kuepuka hayo machungu kama mtu mzima hapo.
 
Super nintendo ,sega genesis, when i was dead broke i coudnt figure this
 
me wanawake cwaelewi kabisa..ukiwa unamtongoza wkt akiwa kwenye miaka yake ya mwanzoni mwa 20 full nyodo yani..unaweza ukamtext leo akakujibu jtano ijayo au hata kama uko na uhusiano nae hana time ya kukutafuta ni mpaka we mwanaume umuanze..sasa akifikisha miaka 25+ kibao kinageuka...kila saa hata cmu ambazo hazina mpango mara baby umekula,baby kazi njema nakupenda eeeh na blah blah zingine kibao..sasa najiuliza chemistry ya hawa watu ikoje...na ni vizuri cc wanaume tukawavizia wakiwa wamefikisha miaka hiyo 25 na kuendelea ndo tuanze kuwatongoza au vp maana ndo umri unao onekana wengi wao kuwa na mapenzi ya dhati?

Kumbe chemistry hii
 
Na inakuaje ukioneshwa kupenda unapuuza we ME?
 
Na wanaume wapo vice versa.
In their early 20's wanasaka vimwana sana na wengi huwa rejected.
Wakishaanza kuzinyaka in their late 20's watakusumbua sana.
 
Wanawake wachukulieni hivyo hivyo, maana ukitaka kuelewa akili yao utaumia, wewe nenda nao hivyo hivyo mkuu. Tafta pesa tu ndio dawa ya wanawake. Mwanamke ukimuwekea pesa na Mungu mbele yake umwambie achague atachagua pesa kwa hiyo tafta pesa uwe Mungu wao.
 
nnawasiwasi hujawah pendwa mkuu enzi za 20's kama ushapita.. nyodo ni hulka ya mtu ata akiwa na 40 mpo kwenye ndoa nyodo utaletewa tu..
 
kama chemistry yao uielewi basi biology yao ndo itakusumbua zaidi

Nadhani kila mwanaume anavutiwa kwanza na biology ya mwanamke, halafu ndio anatafuta chemistry. Nas alielezea vizuri hii kitu once.
 
me wanawake cwaelewi kabisa..ukiwa unamtongoza wkt akiwa kwenye miaka yake ya mwanzoni mwa 20 full nyodo yani..unaweza ukamtext leo akakujibu jtano ijayo au hata kama uko na uhusiano nae hana time ya kukutafuta ni mpaka we mwanaume umuanze..sasa akifikisha miaka 25+ kibao kinageuka...kila saa hata cmu ambazo hazina mpango mara baby umekula,baby kazi njema nakupenda eeeh na blah blah zingine kibao..sasa najiuliza chemistry ya hawa watu ikoje...na ni vizuri cc wanaume tukawavizia wakiwa wamefikisha miaka hiyo 25 na kuendelea ndo tuanze kuwatongoza au vp maana ndo umri unao onekana wengi wao kuwa na mapenzi ya dhati?

Kama huelewi chemistry yao utaelewa physics yao wala usichoke
 
Hahahahahahah we MCHANGA utausikia tu!
 
Kama hakuwa anatamani kuwa karibu na wewe kila mara ujue hamkuwa na chemistry yoyote, chemistry kati yenu inakuja naturally yaani ni ngumu kujielewa hasa nini kinakufanya upende kuwa naye karibu kila mara hata uwe 13
 
Hahahaha,kichuo chuo pia mwaka wa kwanza huwa wanaringa hatar,,ikfika mwaka wa3 sasa nyodo znaisha
 
me wanawake cwaelewi kabisa..ukiwa unamtongoza wkt akiwa kwenye miaka yake ya mwanzoni mwa 20 full nyodo yani..unaweza ukamtext leo akakujibu jtano ijayo au hata kama uko na uhusiano nae hana time ya kukutafuta ni mpaka we mwanaume umuanze..sasa akifikisha miaka 25+ kibao kinageuka...kila saa hata cmu ambazo hazina mpango mara baby umekula,baby kazi njema nakupenda eeeh na blah blah zingine kibao..sasa najiuliza chemistry ya hawa watu ikoje...na ni vizuri cc wanaume tukawavizia wakiwa wamefikisha miaka hiyo 25 na kuendelea ndo tuanze kuwatongoza au vp maana ndo umri unao onekana wengi wao kuwa na mapenzi ya dhati?

Afta 25 nyota inafifia
 
Back
Top Bottom