Utachukua uamuzi gani

Utachukua uamuzi gani

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,723
Reaction score
5,288
Mmevamiwa na majambazi nyumbani kwenu wamepora kila kitu wakavunja chumba chenu wakawakuta wewe na mke wako. Wakakupa bastola wakakuambia umuue mke wako la sivyo watakuua wewe.
Ukasema la siwezi kumuua nyie niuweni tu.
Wakachukua bastola na kumpa mke wako wakamshurutisha akuue kama walivyokuambia wewe.
Mke kupewa tu bila kupoteza muda akakulenga ya kichwa na kufyatua. Kumbe haikua na kitu. Majambazi wakacheka sana huku wakitoweka.
Baada ya kuondoka Je.
Utachukua uamuzi gani?
 
Ntampa mapenzi yangu yote yaliyobaki maana ni mwanamke shujaa,linapokuja suala la maisha ni lazima kupambana kwa kila hali.
 
Mambo ya majambawazi hayafai ujue....

Ila avatar yako imefanana na Senior Bachelor kama sikosei
 
Last edited by a moderator:
Me mwanamume lakini kwa hapo nimekosa jibu
Ivi samahan miss chagga ushawah kutamani ungezaliwa wa kiume?
nilishawahi sana hasa nikikutana na warembo kitaa natamani ningekuwa mwanaume mimi aisee lazima...
 
Back
Top Bottom