Utapenda kusoma tena...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapenda kusoma tena...?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 21, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Kwa karibu miaka mitatu hivi sijaandika visa vyangu vya kusisimua na hadithi mbalimbali (za mahaba, za kutisha na visa vinavyozua visa vingine na riwaya). Nimeanaza kufikiria kuanza kuandika tena na hata ikiwezekana kutoa mkusanyiko wa "zile" hadithi zangu na kuziweka kwa watu kulipia kidogo.. ili hatimaye niweze kutoa kitabu au vitabu vya hadithi hizo...

  Je bado wapo wapenzi wa stori za Kiswahili au tuandikie kwa kiingereza kuvutia na wasomaji ambao lugha yao ya awali ni Kiingereza?

  Kwa wale ambao hawajui nazungumzia nini.. unaweza kutembelea mzimu huu wa tovuti yangu ya zamani kujikumbushia.

  BONYEZA HAPA!
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Rudi kwenye siasa bana bado mchango wako unahitajika.
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .......Muache aje na huku, siasa na mapenzi vinaendana. Mwanakijiji leta story.
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mhe. MM mimi naomba ziwe katika Kiswahili, ni mpenzi sana wa hadithi zilizo katika lugha ya Kiswahili. Za Kiingereza ziwepo lakini Kiswahili kipewe kipaumbele ili pia zisomeke zaidi na zaidi na kwa masafa marefu zaidi
   
 5. m

  madule Senior Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prety Hongera kama avatar yako inakuwakilisha.,:)
   
 6. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia siasa bila malovee zinaenda bwana, lazima kuwepo kitu cha kuyeyusha msongo wa mawazo jama. Zilete Mhe. MM mimi nazisubiria kwelikweli
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  siasa zimeanza kuniboa.. mwisho wajukuu zangu watakufa njaa bure kwa kuendekeza wazimu wa siasa za Tanzania..!
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  So do i?
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Lugha zote zinafaa maana zote zinafaa. Andika watu tuna mahitaji tofauti ya hizo lugha
   
 10. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ila mimi nimeshawishi tu kipaumbele kianze Kiswahili, vinginevyo ni sawa pia
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jan 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi napenda ile hadithi ya wewe ulipokwenda kule Marrietta, GA kumtembelea yule dada mwenye Hummer. Unaikumbuka hiyo?
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280

  gademu...!!! si unajua mahummer at the time (hata siku hizi) ujiko!? sijui wachina watafanya nini nayo!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  halafu nakumbuka ulimmega (kwenye hadithi) huyo dada....lol
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mkulu ulishawahi toa kitabu? We mpenzi wa kusomwa tu au kusoma pia? Unachapishia kazi zako wapi? Mrabaha unauchukuliaje? Ni % ngapi apatayo mwandishi?
   
 15. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera sana Mwanakijiji, nadhani ni vyema kuandika kwa kiswahili ili watanzania wengi wafaidi. Ila kibiashara ni vyema pia ukaandika kiingereza maana kununua vitabu kwa mwananchi wa kawaida ni suala la mwisho atakalofikiria hii ni kutokana na uchumi na hamasa ndogo ya kusoma. Nimewahi kuandika hadithi kadhaa, nafikiria nikipata muda nizipitie na kuzitoa kama kitabu chenye hadithi fupifupi au niziendeleze ili kila moja ijitegemee. Hii ni changamoto kwa watanzania wenye uwezo wa kuandika -tuandike.


  Asante sana,
  Annina
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  sijawahi kuchapisha kitabu chochote; mara zote nimekatishwa tamaa kuwa wabongo hawapendi kusoma stori za Kiswahili na pili.. hawataki kulipia kusoma.. so yote mawili kama mtunzi yanakatisha tamaa. Naweza kuandika hata screenplay za movie na TV shows (kwa kiingereza au kiswahili) lakini tatizo ndilo hilo who pays for it?
   
 17. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .......Mwanakijiji nimesoma ile link uliyonipa, hadithi ile uliyoenda kumtembelea yule dada GA imeniacha hoi........mdada ana mchumba wake halafu kakubali kula uroda na wewe . Nilikuwa sijawahi kusoma hizi hadithi zako, zinanoga kweli kweli.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jan 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji Aenda Atlanta!!

  Nawakaribisha katika bulogu hii ambapo siku kwa siku nitakuwa nikiwapa habari, mawazo, maoni, hoja, na burudani toka hapa kijijini. Ni matumaini yangu hamtasita kuchangia kwa kuniunga mkono, kunikosoa, na kunipa mwanga. Karibuni na mjisikie mko Kijijini.
  SAFARI YA ATLANTA
  Nilifunga safari Jumamosi asubuhi kwenda kumtembelea nje kidogo ya Jiji la Atlanta, katika eneo liiitwalo Marieta. Tulisoma shule moja A level kule Sangu Mbeya. Hivyo nilikuwa nimefurahi sana kumuona tena baada ya kuachana kwa takribani miaka kama nane hivi. Nilifika huko mida ya saa nne ya usiku, nilifikia hotelini. Asubuhi nilimpigia simu kuwa nimeshaingia mjini na aliahidi atafika hapo hotelini kunichukua baada ya kama saa moja hivi. Nilienda kujiandaa na kujipatia kifunguo kinywa.

  Majira ya saa tatu asubuhi aliwasili. Alikuwa hajabadilika sana, na kwa kweli hakuwa yule ?dada? tu bali alionyesha kuwa yeye sasa ni mwanamke haswa. Alikuwa ametengeneza nywele zake kirasta. Alivalia sketi fupi ya rangi ya zambarau iliyoishia magotini. Hakika sijawahi kuona miguu mizuri kama hiyo! Alivaa viatu vyeupe vya mchuchumio. Alivaa blauzi ya rangi nyeupe yenye madoa ya zambarau na hata lipstick yake ni ya rangi ya zambarau iliyokolea. Yaani kwa kumechisha tu, dada huyu ni mkali. Alinikumbusha sana kule Sangu. Tulipoachana miaka nane iliyopita, hakuwa na matiti makubwa, lakini leo hii, salaleh! Bila kuficha alikuwa ni 36D.

  ?Mambo Mwanakijiji, za siku nyingi? Alikimbilia mikononi mwangu kunikumbata na kunisalimia. Nilihisi joto likinitoka hasa baada ya kifua changu kuhisi ugumu wa matiti yake.

  ?Powa tu, naona uko bomba ile mbaya yaani, unakula nini? Nilimjibu huku nikimwangalia toka juu hata chini.

  ?Hamna kitu, kazi tu? Alijibu kwa kucheka. ?Twende basi nikakuonyeshe nyumbani, tusipoteze muda? Aliniashiria kuingia kwenye gari lake, ambalo bila shaka lilikuwa ni bado mpya kabisa. Alikuwa anaendesha H3 la rangi ya manjano. Mimi na ki-Porsche changu kwa hakika hatufui dafu mbele ya chombo kama hicho. Kuingia tu ndani ya gari nilijihisi kama vile naingia kwenye Discovery, kile chombo cha anga cha NASA.

  * * *
  ?Yaani, nimesoma vituko vyako huko DHB na YA, yaani wewe umezua kasheshe? Aliniambia huku tukipanda ngazi kuingia kwenye nyumba yake.
  ?Si hadithi tu? nilimjibu. ?Mara ya mwisho nilisikia unafanya kazi hapo Makao Makuu ya CNN? Nilijaribu kubadilisha topiki.
  ?Bado nipo hapo? Alinijibu huku tukiingia ndani. Nilipigwa na butwaa kwani dada huyu alikuwa amejijenga sana. Chumba kizima kilikuwa kimepanga vizuri na karibu na ukuta kulikuwa na Plasma TV ya nchi 62. Picha mbalimbali za mahadhi ya Kiafrika zilikuwa zimepangwa vizuri. Nilijikuta nikimeza mate kwa tamaa!!

  ?Jisikie uko nyumbani? Aliniambia huku akichochomea chumbani kubadili nguo. Alipotoka huko alikuwa amejifunga kanga na kuvalia T-shirt. Tulikaa hapo sebuleni na kukumbushana miaka ilivyopita. Baada ya kuzungumza sana na kukumbushana miaka yetu pale Sangu, tulijikuta hatuna la kusema bali kutazamana na kuangalia TV.

  ?Pole na kasheshe lako la DHB na YA? Aliniambia huku akiniangalia usoni.
  ?Asante, si nimejitakia mwenyewe? Nilimjibu huku nikicheka kiaibu.
  ?Nilidhania umebadilika Mwanakijiji, yaani bado unaendeleza fani eh?? Aliniuliza huku maana ya maneno yake ikiniingia. Mawazoni nilikumbuka kasheshe nililolizua Sangu kati ya demu wa kidato cha tano wa pale Loleza na demu mwingine wa kidato cha sita wa Sangu!! Sitasahau hilo.
  ?Hivi hizo hadithi zako ni za kweli?? Aliniuliza
  ?Ipi haswa?? Nilimjibu kwa swali.
  ?Haswa ile ya ?Mimi na Bosi Hotelini? yaani niliipenda sana? Alinijibu.
  ?Kuna ka ukweli kidogo na zaidi ni Chumvi? Nilimjibu.
  ?Mmh? alijibu kwa mguno.

  Ilikuwa imefikia mida ya saa sita za mchana na tulipanga anipeleke kutembelea pala CNN na pia ile Bustani ya Olympiki na jioni angenitoa nje kwa maakuli.
  ?Wacha niende kujiandaa basi? Aliniaga na kwenda chumbani.
  Mimi nilendelea kuangalia TV. Katika kona ya jicho langu kushota niliona kivuli. Kuangalia ilikuwa ni yeye amejifunga taulo akienda bafuni. Nilijisikia joto kama umeme likinipita kuanzia utosini, kiunoni, magotini hadi miguuni!! Nilijisikia uume wangu ukianza kupwita pwita kwa kudinda!! ?Huyu ni rafiki yangu? nilijiambia nikijaribu kujituliza. Nikasikia maji bafuni. Mawazo yangu machafu yakaanza kuniingia. Nikajaribu kubadili channels kwenye TV bila mafanikio.

  ?Mwanakijiji? Alinistua kwa wito toka bafuni.
  ?Naam? Niliitika.
  ?Nenda hapo chumbani kwangu kwenye meza kuna shampoo nimeisahau, tafadhali niletee? Aliniagiza. Nilikimbia haraka haraka huko chumbani. Nikaichukua hiyo shampoo na kumletea bafuni. Nilisimama mlangoni na kunyosha tu mkono bila kuchungulia ndani. Nikahisi mkono wake ukichukua shampoo toka mkononi mwangu. Kabla sijaelewa hili wale lile alinivuta bafuni!!
  ?Njoo Uoge, au unaogopa maji? Aliniambia. Bafu lilikuwa kubwa na pembeni lilikuwa limezungukwa na vioo. Alikuwa amesimama wima huku nywele zake zikiwa zimeangukia mgongoni. Mwili wake wa maji ya kunde na urefu wake kwa hakika nilishikwa na kigugumizi. Jinsi maji yalivyokuwa yakitiririka kwa kufuata contour za mwili wake, ilikuwa ni kama kuangalia maporomoko ya Zambezi!!
  ?Miye nimeshaoga? Nilimjibu huku nikijifanya kukimbia mbali maji yasiniguse. Alinigeukia. Aliinua mguu wa kushoto na kuuweka juu ya ukingo wa bath tub na mkono wake wa kulia akauchezea kwenye matiti yake halafu akakinyonya kidole chake utadhani zile pipi zenje kijiti!

  ?Njoo hapa? Aliniashiria. Kama vile sitaki nataka nilisogea karibu. Alifungua shati langu na kuniacha kifua wazi. Sikuweza kujizuia tena. Nikachojoa viwalo vyangu vyote.
  ?Hahahaha, angalia ulivyodinda, halafu unajifanya hutaki? Alicheka, huku akinyosha mkono wake kunishika m.boo yangu. Mikono yake iliyokuwa imelowa na yenye joto la maji ya moto lilinifanya nijisikie kweli. Nikaingia bafuni. Huku maji ya yakitumwagikia nilianza kumnyonya chuchu zake. Nikambusu mdomo wake huku mkono wangu kwa ustaarabu ukivinjari mwili wake. Alishusha mguu wa kushoto na kupandisha mguu wa kulia. Mkono wangu wa kushoto ulianza kumchezea kwenye uke wake. Mchuruziko wa maji na mlio wa mguno aliokuwa akiutoa ulikuwa ni burudani tosha. Nikapiga magoti na kuanza kumbusu mapaya yake, na hatimaye nilifikia katika malango yake matakatifu!! Alianza kuguna huku akishika kichwa changu kwa nguvu. Nilianza kumnyonya taratibu na kwa upole huku kidole changu cha kati kikimchezea ndani!!
  ?ah ah mwanakijiji? Aliguna
  ?Nini? Nilimuuliza
  ?ah ah hapana, endelea tu!!? Aliniambia
  ?Sikuwa na mpango wa kuacha? Nilimwambia nikimwangilia usoni na kisha kurejea katika kazi yangu. Niliinuka taratibu nikimbusu, tumboni, kifuani na kwene matiti. Miili yetu ikigusana. Aligeuka akiangalia mbele. Alipanua miguu yake huku mikono yake ikiegemea ukutani. Aliinama kidogo na hivyo kujiinua ****** yake. Bila kufanya ajizi, nilianza kumwingia taratibu!! Mikono yangu ilimkumbatia huku nikichizea matiti yake!! Maji yaliendelea kututitirikia!! Nilianza kuyumba mbele na nyuma, na kwa mzunguko. Na yeye alinijibu vivyo hivyo!! Nilijiangalia kwenye kioo, ilipendeza kama nini!
  ?Unapenda kujiangalia eh? Aliniuliza na kumbe na yeye alikuwa anajiangalia pia!
  ?Inaonekana siko peke yangu? Nilimjibu huku nikiongeza mwendo wangu! Aliendelea kulalama na kuguna! Kama baada ya nusu saa hivi nilimgeuza aniangalie. Aliifunga miguu yake kiunoni mwangu. Nilimbeba huku nikiwa bado ndani yake, na wote tukiwa bado tumelowa!! Nilimchukua hadi kitandani kwake! Nilimlaza chale! Nikampanua miguu yake na sote tulikuwa tukiangalia ?jitihada zetu?. Kama vile mpingo uliopakwa mafuta nilikuwa nikiteleza nikiingia ndani na kutoka!

  Tutakumbatiana huku tukikatiana kiuno!!
  Mawazoni mwangu nilikumbuka mojawapo ya mashairi yangu. Niliendelea kukata kiuno haraka na taratibu huku nikiingia na kutoka. Dada akaninong?oneza maneno yafuatayo:

  Kiuno ukikikata,
  Kata kaka ukakata,
  Ukikate kitakita,
  Usikate kiutata.

  Kiuno ukakikate,
  Karaha isikukute,
  Kwa rakha ukatekate,
  Usikate kiutete.

  Ilikuwa ni shairi nililokuwa nikiliwaza!! Tuliendelea katika majamboz kwa karibu dakika 45 hivi. Tulipofika kilele tulijjikunja utadhani uta wa mshale! Na tulipoachiana nilihisi wana DHB na YA wanatupigia makofi ya pongezi. Tulilala kitandani tukiwa
  tumekumbatiana!!!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jan 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hii imeniacha hoi....

  "ah ah mwanakijiji? Aliguna
  Nini? Nilimuuliza

  ah ah hapana, endelea tu!!? Aliniambia"
   
 20. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mzee MM ni kwa ajili ya kuchangia walioathirika na mafuriko au??>
   
Loading...