Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Naomba niulize swali kwa wataalam waliobobea kwenye mahusiano, hivi msichana akikeketwa hisia za mapenzi zinatoweka au inakuwaje? Naomba majibu tafadhali.
0 Reactions
34 Replies
14K Views
Habari zenu wana bodi. Natumai mko salama na mnaendelea na minyukano ya kimaisha. Story ni ya kweli isome kwa utaratibu afu nijuze nini nifanye. Miaka 5 iliyopita nilikuwa mjini nikiwa najitegemea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndoa huwa ina Stage 4 bana: 1. MKWARA STAGE -Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu.Hapa bado wapya ni full kujishaua,kila mahali mko wote,Unawahi kurudi home,Kabla hujapika unaulizahubby...
13 Reactions
61 Replies
7K Views
Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athari za yote haya mawili?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii ni hadithi iliyowahi jitokeza na hata Youtube ipo. Ni ile hali ambayo mwanamke na mwanaume wananasana wakati wa ngono na hasa kama mwanamke ni mke wa mtu. Mchezo huu nasikia ni ufundi wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mtu anapopatwa na maumivu ya mapenzi ama msiba ni kipi hasa humuuma kati ya roho na moyo?Maana utamsikia mtu akisema roho inaniuma sana au moyo unaniuma sana. Mimi nikijaribu kuyafikiria maumivu...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wana Jf, Niliweka habari humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata, nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Ni kijana ninaesoma chuo kimoja hapa jijini Mbeya. Natafuta Msichana(18yrs-30yrs) wa ukweli ambae tutasukuma haya maisha ya chuo. Awe mwanafunzi au Mfanyakazi(Sio za ndani). Mi ni mrefu. Sio...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Mke wangu katoka kuniona hospitali nimelazwa. Nilimpa nauli ya daladala kwenda nyumbani ambapo angetumia saa moja tu. Angetembea kwa miguu angetumia saa mbili. Lakini pamoja na kumpa nauli...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Natafuta na Nahitaji mwanamke mwenye kujielewa, mkweli, mwenye true love, anayejuakupenda na kuthamini kupendwa anayejua nini maana ya mahusiano naamini age ni namba tu but age yangu ni 26 old am...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba...
0 Reactions
80 Replies
11K Views
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana. Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini. Au...
1 Reactions
56 Replies
18K Views
Wakaka na wadada kwa namna yoyote epuka kutumia lotion au mafuta ya kujipaka ambayo yanaulainisha mwili na kuwa laini kama kodoro au papai lilioiva sana ambalo ukilibonyeza alirudi. Zipo lotion...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanajukwaa, Najaribu kuelezea maisha yetu kama waafrika japo sitaonesha mpangilio mzuri lakini kwa kutumia akili ya kawaida tu unaweza kuelewa nini nimesema. Hapa nawasilisha kwa namna ya...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Nilikua najiuliza kwanini utakuta jamaa ni player kinyama lakini siku ya siku ukija wakati wa kuoa huoa mwanamke wa kawaida sana.!Nikaamua kufanya uchunguzi. Nilicho gundua ni kwamba ukifika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanaukumbi, Nimekua nikiona mara kwa mara mara wajawazito wanapojifungua huanza kwenda na either mama mtu mzima bafuni na huko hukaa muda mrefu sana na maji huwa ni ya moto sana kama ya...
2 Reactions
85 Replies
29K Views
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu...
1 Reactions
150 Replies
14K Views
Habari za humu wapendawa, Ni msichana umri miaka 23,nahitaji mme mwema mwenye kujitambua umri miaka 26-35. Alie tayari ani pm
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nawasalim wote, Ijumaa nili share na nyinyi masahibu yaliyonikuta kati yangu na mke wangu kwa ambae hakuusoma naomba arejee post hiyo katika thread hiyo niliwaambia kwamba kulikua na msafara wa...
35 Reactions
117 Replies
11K Views
Hi wadau wageni kwa wenyeji, Ts been a long time.hope mko powa. Back to main topic; Karibuni kushare uzoefu wenu kuhusu kupeana SPACE/NAFASI kwenye mahusiano,lets say mahusiano mmegombana...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…