Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeona matatizo ya mahusiano yazidi kuongezeka na nikakaa kutafakari shida iko wapi!Kwa mtazamo wangu, wanaume wengi wametangulia kuwajua wanawake wao kabla hawajawaelewa! Ni vizuri kujua tabia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana humu, Mimi ni kijana ninayejitokeza kutafuta mchumba hapa Sifa zangu: -Muislam -Mrefu kiasi -Umri wng 22 -Nimeajiriwa serikalini -Sivuti sigara wala situmii pombe -Mchumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sura sio tatizo ila awe na makalio makubwa, asiwe bonge sana, awe maji ya kunde , na awe anapenda faragha kiasi nikirudi job tu nampa doziiii, awe tayari kufundishwa gari. Namba za simu aweke...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Miezi miwili iliopita nimetengana na mwanamke wangu tuliopendana kwa musa mrefu kwa issue za uhaminifu, kama kawaida yao baada ya kuachana haikuchukua week akawa anatoka na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimeusoma wibo huu na kuusikiliaza hakika LIONEL RICHIE aliimba. Love can bring everything, love bring piece, hope, harmony. With love the world is the better place to live. Spread love to the...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naandika taarifa hii nikiwa tayari nimeshakasilishwa...... Ipo hivi......Mimi ni kijana wa kiume na fiancee wangu tunaishi maeneo ya tabata kinyerezi kwenye chumba cha kupanga(self contained). Hii...
4 Reactions
92 Replies
10K Views
Ikiwa imepita kama mwezi mmoja na nusu toka jamaa yangu mmoja aoe amepitia katika kipindi kigumu sana katika maisha haya ya muda mfupi ya ndoa yake. Iko hivi ni ndugu yangu ambae niko nae mtaa...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Habari yako msomaji wa uzi huu, Kuna tabia fulani kubwa sana kwetu sisi wanaume, mwanamke ukipishana nae barabarani lazimi mwanaume ageuke amwangalie mwanamke kwa nyuma. Tujadili kwa pamoja...
4 Reactions
177 Replies
43K Views
Tuwasiliane pm
1 Reactions
0 Replies
863 Views
Kuna binti mmoja, alinizoea nikamgegeda. Akasema imetokea bahati mbaya, na eti anayeampendae. Nikakaa mbali nae. Siku kadhaa tukakutana, kajiingiza kingi nikamgegeda tena. Akaahidi, hiyo itakuwa...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Wadau, Mara ya mwisho nilikuja kuomba ushauri juu ya mdogo wangu alietaka kuolewa na mission town na mimi kukataa thank god baadae binti alielewa na tukalikataa lile jamaa,kumbe jf ikitumika...
7 Reactions
101 Replies
11K Views
Naandika hii post kwa hisia nzito kwa watoto wa kike especially ambao wameshapevuka na wamevuka umri wa miaka 18. Okay ni hivi destiny kwa kiswahili ni hatima au mwishoni. Akina dada nawapenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kusalitiwa na aliyekuwa mpenzi wangu nikaamua nikae alone kwa muda sasa, moyo umepona natamani sasa kupendwa na kupenda tena. Natamani nimpate mdada nitakayempenda kweli naye anipende...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Wanaume naomba majibu kwenye hili, maana nimeona masela wengi wanang'ang'ana na bia bar kuliko wanavyong'ang'ana kuja na wake zao bar. Siyo lazima mwanamke anywe ila ni vizuri akawa karibu yako...
1 Reactions
92 Replies
11K Views
Siku moja nilikuta watu wakibishana kama mapenzi yana hali ya upofu ama hapana. Wale waliokuwa wakiamini mapenzi yana upofu wanasema wanaamini hivyo kwa sababu mtu anayependa hata kama anayempenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sasa ni zaidi ya miaka miwili toka niwe member wa hii forum. Kiujumla imenisaidia kupunguza stress maana vitu vya kuchekesha ni vingi na vya kusikitisha vichache. Nimebahatika kuwafahamu uso kwa...
14 Reactions
230 Replies
15K Views
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji...
0 Reactions
62 Replies
10K Views
Ni hivi nilikuwa na mpenzi kweli alinipa kila kitu.Sasa tumekuwa hatuelewani kila mara ikafika kipindi ikabidi tuachane na yeye ndio alishauri hvy na kweli akabadili mpaka line ya simu. Baada ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu MMU. Kwanza naomba kuwashukuru kwa michango yenu ya ushauri kuhusu mkasa mzima wa wachumba zangu wawili. Kama mnakumbuka nilimchagua mmoja na akaomba muda wa kunipa jibu. Ilikuwa...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…