Single mother
Senior Member
- Jun 10, 2015
- 158
- 57
.......
Je wewe umeona madhara yeyote mpaka utuulize sisi ?
Je wewe umeona madhara yeyote mpaka utuulize sisi ?
Kama huyo mwanamke hajaolewa na anamtoto na bado wanapendana si kosa kwao kuoana ili walee watoto wao,ukiangalia huyo ndio alikuwa destined kuwa mkewe na ndio maana hadi leo jamaa kagundua makosa yake,huyo kaka yenu mwingine anasababu gani kukataa yule asioe?Na mwisho wa siku atakeyeishi na mke ni anayetaka kuoa sio huyo kaka yenu mwingine,la msingi jamaa asikilize moyo wake unavyomtuma,
Tatizo itakuwa kama anandoa ya kanisani na huyo mzazi mwenzie,ila kama hawana haina shida,na nahisi kaka yako aligundua na aliona kadanganywa kuhusu mimba kwani kama kweli alikuwa na mimba kwanini azae baada ya mwaka?
Uongo katika hayo mambo huwa unaleta mwisho mbaya kwani jamaa alioa mtu ambaye hakuwa chaguo lake.
Mimi nashauri aache pupa za kuoa maana ni suala linalohitaji kutuliza akili...
tokea mwanzo amekuwa na pupa ikamcost, sasa aache hizo pupa atulie afanye maamuzi upya maana anaweza kwenda kwa huyo wa awali akaishia kuumizwa tena.
binadamu hubadilika tabia, ndani ya kipindi kifupi mwanamke huyo aliyeachwa anaweza akawa amedevelop tabia mpya
hizi div 5 za mulugo... mnatushushia hadhi ya jf sana... daaah..
Umeona eeh? MTU kama huna cha Ku comment bora upige kimya!
DCM, pondiboy,
chakushangaza huyo ex wake kampa masharti mawili ila moja kuu 1. ahakikishe wazazi wake wamekubaliana na hlo swala
2. sharti kuu -- ahakikishe 2/3 ya mali zisizo hamishika & nyingine amwachie huyo mzazi mwezie kwa maandishi kabla hajajitambulisha kwao.( hapo cjui bro atakubalikweli)
watachuma zingine eti

Hayo masharti wala hayana msingi wowote na hatasikilizwa na mtu, cha msingi ni kuhakikisha kuwa malezi ya watoto wao yanawekwa bayana. Kama ni bro wako atachukuwa jukumu la kubeba watoto ili aunganishe familia na huyo ex ambaye naye ana mtoto mimi naona ni fair tu.
Lakini asiwe na papara, hayo maamuzi ya kuoa haraka haraka ndio yatazidi kumuumiza. Atulie na kutafakari kwanza, amalize saga lake na mzazi mwenzake...baada ya hapo ndio afikirie kuhusu huyo anayetaka kumuoa.