Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
Baada ya kusalitiwa na aliyekuwa mpenzi wangu nikaamua nikae alone kwa muda sasa, moyo umepona natamani sasa kupendwa na kupenda tena.

Natamani nimpate mdada nitakayempenda kweli naye anipende... popote pale iwe humu jf au kwingineko, maana moyo unahitaji upendo.

Mimi nina 28yrs, nina elimu ya kutosha, nina kipato cha kunitosheleza kujikimu kimaisha, ni mkristo, napatikana Dar na ikimpendeza Mungu basi tutaenda step nyingine .

Nampenda mwenye hofu ya Mungu, na asiwe mfupi please nipm.
 
Happy is the man who wins the first love of a woman, but happier is woman who wins the last love of a man,.. Kaz kwenu wanaotafuta mchumba mmepata .. kila LA heri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom