Nipo Seriously natafuta mwanamke wa kuoa

Nipo Seriously natafuta mwanamke wa kuoa

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
Habari zenu waungwana humu,

Mimi ni kijana ninayejitokeza kutafuta mchumba hapa

Sifa zangu:

-Muislam
-Mrefu kiasi
-Umri wng 22
-Nimeajiriwa serikalini
-Sivuti sigara wala situmii pombe
-Mchumba ninae muhitaji awe na sifa

Zifuatazo:
-Awe muislam
-Mrefu na mnene kidogo
-Asiwe anakunywa pombe wala kuvuta
-sigara

MUST��
-Awe anatokea mikoa ifuatayo-
-MOROGORO,MWANZA,SHINYANGA au
-TABORA
-Elimu kuanzia IV na kuendelea,umri wake mwisho miaka 22.

Kwa yeyote anaeguswa au kuhusika na huo uzi namkaribisha �� @pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom