Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kisa cha kweli leo hii, Kimara, Suka. Baba, mmoja, kwa jina simjui mara moja.Kapiga makelele kwa familia yake hadi mayoweee na kilugha anaongea, yaani ni mtifuano.Familia imehamia UKAWA kabakia...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Basi tukakaa kila mtu na siti yake, pembeni yangu ni John, kijana mtaalamu wa Mechanics, uzoefu wa gereji za katikati ya jiji la Kampala, siti mbili za mbele yetu walikaa Milgo na Fatma, mabinti...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Baada ya mihagaiko ya kutwa nzima jana rafiki mmoja alinikuta nikiwa nafunga kijibanda changu na tukaanza story baadae nikamwambia mimi nataka nikapumzike nyumbani hivyo tukaanza kutembea kuelekea...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Rafiki yangu kapata mwanamke mzuri sana na akampenda.Jamaa kwao ni Tanga wilaya ya Mkinga.Wazazi wake wamemuambia asioe watu wa hapa Shinyanga akaoe kwao Tanga. Je, kuna haki ya kuwasikiliza...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wqpendwa, me ni mpya hapa ndio mara ya kwanza naingia naomba ushiriano wenu.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani najua wote mko poa, Mke wangu weekend iliyopita alienda jangwani kwa MAGUFULI akarudi na collection ya nyimbo zote za Komba kuanzia CCM mbele kwa mbele,wapinzani wakija tuwachanechane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SIMULIZI YA MAPENZI : SURAIYA MTUNZI : KALAMU NA KARATASI MAWASILIANO: 0655 08 02 90 MSAMBAZAJI:KALAMU NA KARATASI FOUNDATION SEHEMU YA KWANZA Barua Pepe: kalamunakaratasi@gmail.com...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa una kuta mtu inakubidi ucheze chini ya kiwango kutokana na mdada kuwa mchafu kunako K,. Una mkuta dada ni sister do lakini kitumbua chake ni balaa! Hivi mnashindwa nn mkienda kuoga kuwa...
2 Reactions
107 Replies
19K Views
Habari wanajukwaa, Mimi huwa sioni umuhimu wa kuangalia sijui upole wa mwanamke, siju mwenendo wa mwanamke, coz ninachokijua; Unaweza ukamwona mwanamke ni mpole lakini ukishamuweka ndani ndo...
1 Reactions
80 Replies
10K Views
Siku ambayo unapata kwa mara ya kwanza ku-do na demu ama boy wako huwa ni siku ya pekee kabisa kuliko siku hata zitakazofata katika safari yenu ya mapenzi. Kwanza kila mmoja huwa ameipania siku...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Ruvuma ila kwa sasa nafanya kazi Mbeya. Baba yangu alikuwa ni mtu mzima sana miaka ya 96 nikiwa shule ya msingi katika familia yetu tupo wanne wa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Mficha uchi kifo humuumbua, kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Mwanamke anapenda kupendwa! Nimeisoma mahali fulani habari hii na kuileta hapa kwa ‘Great Thinkers'. Mwanamke anapenda kupendwa! Mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa na mapenzi ya dhati...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Watu hawa wote wawili nawafahamu tangu chuo, walikuwa wakipendana sana lakini hawa kuwa na mahusiano ya kindoa.2010 msichana akaolewa, 2011 mvulana akaoa.2015 wote wameachana na familia zao sasa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda Kudanganywa kuliko hata kwenda Saluni We angalia aina ya Maswali anayokuuliza yalivyo. Unatongoza Demu Mpya halafu kabla hata hajakukubalia anakwambia. "Naomba...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF? Hususani wana MMU nahisi mko poa. Nilikuwa na mpenzi na nahisi alinipenda kweli kwani alipenda kunisisitiza nisije kumwacha vile vile alishanitambulisha kwa mama...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Habarini wadau, Hapa nazungumzia wale ambao wako ready to mingle kwa wale ambao mmeshavutana na kuwekana ndani utatoa tu experience yako. Kwa maisha ya siku hizi wanaume wengi wa mjini...
12 Reactions
122 Replies
12K Views
Ni jambo la kushngaza lakni lipo demu kunyonya hadi manii inatoka kisha hatemi! ukimuuliza anasema huwa ni nzuri ni kama ukizoea sgara utapenda kuvuta , hata ukitaka kupumulia out anakomaaa mrija...
2 Reactions
170 Replies
33K Views
Nina rafiki yangu naweza kusema bora hata majanga yangu ya kukimbiwa yana uafadhali kuliko ya huyu jamaa, sielewi ndo amekamatwa na mahaba ya yule msichana ama vipi. Yeye anafanya kazi na...
2 Reactions
106 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…