Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello everyone. Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hellows, Jana nikasikia kitu that made me wonder kdogo abt a certain relationship (ikanibidi niite the so-called)..sasa jamaa kafuatilia kabinti ka watu hadi kakapigika sound. They barely meet...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajf? Wazima wote, Mimi ni mdada nimeolewa na nina mtoto mmoja tatizo sahivi nina ujauzito mwingine na mume wangu ananidharau sana. Kwanza mimba inanisumbua sana maana ni changa yani...
4 Reactions
95 Replies
20K Views
alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu wanaJF, Kwakweli nimewamis sana! Ila tuko pamoja! Kwa bahati mbaya au nzuri mimi ndiye mtoto wa kiume pekee nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto wanne, wenzangu wote ni wa kike...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa marehemu rafiki yangu kwa mwaka wa tatu sasa tangu mume wa huyo dada afariki. Familia zetu ziko karibu sana nami nina mke na watoto wawili na huyu...
1 Reactions
73 Replies
12K Views
Habari wanaJf, Je, ni kweli wanawake wengi wanapenda rough sex kwa maana kwamba ukiingia kwenye geme ni ku do ile mbaya kwa kasi na kwa nguvu zako zote? Siyo ile ya kufanya mapenzi kisharobalo...
0 Reactions
73 Replies
18K Views
Nipo dar natafuta marafiki
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini wenzangu, Jamani mimi nimekutana na maswaibu makubwa sana hata sijajua namna ya kuyasuluhisha ndani ya moyo wangu.Nimekuwa nikisumbuana na mume wangu muda mrefu tokea tunaoana ila...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Wanajamvi habarini za weekend? Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi: 1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi...
48 Reactions
555 Replies
44K Views
Hamjambo na karibu tena katika Jukwaa hili Huru kuhusu Masuala ya Mahusiano. Natafuta mpenzi tutaeishi nae kwa mkataba. (1)Mkataba usiozidi kipindi cha miezi kumi na mbili au chini ya hapo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nikiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu mwingine,niameamua kwa nia moja kutoa ombi langu hapa,kwa madhumu ya kutafuta MKE WA MAISHA,ninatafuta MWANAMKE ambaye mwenye shida tu ya kuitaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KIJANA AMBAYE HAJAOA (I) Huwa anampenda sana mama yake, mama yake ndio anakuwa first class, endapo mama yake anaumwa na mchumba wake anaumwa basi atampeleka mama yake hospitali kwanza kabla ya...
2 Reactions
88 Replies
7K Views
Miaka mitatu iliyopita nilikuwa kwenye relationship na msichana mmoja X,ambaye yeye alikuwa akiniaga anaenda sehem na rafiki zake basi mimi kutokana kutokana na mwenendo wake nilikuwa nikimwamini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu Natumain Mko Njema kabisa Nimerudi tena Wadau Ikiwa ni Kama Mwezi Umepita Baada ya Kuleta Tatizo langu la Anatumia bracelet aliyopewa na mama yake aliyekufa asipate mimba, kapata...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Watu wanawaza hasara tu bila kugeuka upande wa pili hizi ndizo faida za kuwa na mwanaume mwingine kwa mkeo. 1. Mapenzi yataongezeka ndani Ili kukuzuga usihisi kitu. 2. Kipato kitaongezeka ndani...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Jaman na mm natafuta mchumba vgezo awe kat ya miaka 22 hadi 24 asiwe mnene sana wala mwembamba SNA yaan saiz ya kat tuu asiwe mweupe sana wala asiwe mweuc sana ila kumbuka npo silias kwa hyo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom