Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za asubuhi, Nilikua nauliza je, mzazi kama baba yako akisema hatokua radhi na chochote utachokifanya na hutofanikiwa je, ni kweli sitofanikiwa? Mzazi wangu ananilaumu kwa vitu ambavyo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nahisi nimeingia kwenye mtego: Kuna binti 1 alikuja katika sehemu yangu ya kazi nikamfanyia kazi yake siku ya kwanza akaondoka, akaja tena mara ya pili tukaongea ongea akanipa namba yake ya simu...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Nimekaa kama mwaka na miezi kadhaa baada ya kugegeda binti mmoja mtaani hapa, tatizo la huyu binti ana kashfa ana ngoma ila nilipiga hvyo hivyo tena kavu kavu, nataka nikavunje ukimya kesho...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Wana jamvi niwape salamu za kutosha...Kama kila mtu anavyojua sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kampeni na hatimae tarehe 25 tutapiga kura ya kuchagua raisi,wabunge na madiwani. Hili ni wazo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mdada aliye tayari 0754458485
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakristo Bwana Yesu asifiwe, na Waislam asalaamaleykhum, Kama nitakuwa nimekosea salamu hizo basi niombe radhi ila natumai nyote kwa ujumla muwazima. Lengo langu ni kilio changu cha muda mrefu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wana jf nimekuwa mara kwa mara nikijiuliza hili swali au slogani inayosemwa na watu wengi kuwa mwanamke akiolewa akubali kulala bila chu.p.i.najiuliza kuna madhara gani kwa mwanamke kulala...
2 Reactions
151 Replies
33K Views
Nimekuwa katika mapenzi na bint mmoja yapata mwaka mmoja na nusu sasa na mara ya mwisho nimeachana naye mwezi 5 nilpokuja kwenye ajira mpya na ndo ukawa mwisho wa kusex isipokuwa mwenzangu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Source;Mzee wa Sumo. Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ushauri kwa ambao bado hawajaoa. Angalia mke wa future katika maisha. Usiangalie mambo ya urembo yapo tu hayaishi. Ni ushauri
0 Reactions
60 Replies
8K Views
by Clint Edwards Right now, my son, Tristan, is seven years old. Even at this young age, I think a lot about what kind of husband he will make. I think about his future, and if I’m setting a...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Ni umemtokea msichana kwa lengo la kumchumbia pamoja na maswali mengi atakayo kuuliza, swali la kazi gani unafanya kuna ulazima wa kumdanganya kama kazi yenyewe inadharaulika kwenye jamii na...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Et ni kwel kwamba ukipenda mara ya kwanza ndo upendo wa kwel.,na kama ikitokea mmeacha na yule uliyempenda mara ya kwanza ukampenda mwingine je huo una kuwa ni upendo wa kweli au ni maigizo tu.?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wananawake ni wepesi wa kudanganywa na wakasamehe. https://youtu.be/CfdlIMlPmuA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi ni ukatili au tuuiteje? Unakuta mwanaume amezaa na mtu watoto/mtoto kuwatunza hataki halafu Mwanamke ndio anaenyeka mwenyewe kulea halafu baadae yule mwanaume anakuja kujipendekeza watoto...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Ni jamaa yangu wa karibu sana mke anasikiliza sana marafiki zake wa nje, mtu wa hasira muda wote, asiyekuwa tayari kukosolewa na kujirekebisha, anawaambia pia rafiki zake kuwa kama nyumbani hapana...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana Jamvi hili nadhani mko poa. Nikupeni story kwa ufupi nimekutana na mdada mzuri sana 6/9/2015 akanisimamisha nimpatie lift nikasimama na kupatia lift katika gari safari ilikua ndefu...
3 Reactions
69 Replies
10K Views
Jamani naomba wataalamu na mlojaliwa hekima mnisaidie walau niishike basi, maana naona nyota nahisi mpaka mwisho naweza kupata tano.
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Nimekuwa Na Marafiki Wa Kiume Weng Zaid Kuliko Wa Kike, So Now I Want To Equalize. 0672117117
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimeamua kukaa bila mtu najiona nina amani na mwenye furaha kuliko napokua busy na mtu, sijui kama kuna madhara ya afya, ila nina amani na utulivu kuliko.
6 Reactions
160 Replies
13K Views
Back
Top Bottom