Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watu wengi wanashindwa kukubaliana na mtokeo hasa pale umli unakuwa unasonga, niseme kidogo hapa, kuna wakati ukikutana na mtu mnasalimiana anakwambia habali za masomo? Hapo ujue wewe bado ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
tena hawa wa dot.com ati utaskia 'i luv men who can cook' kibongobongo hakunanga iyo go cook or go hone!!
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Niite Silent Soldier Humu JF, natafuta marafiki wa kike na wakiume. Nipo dar ingawa nyumbani Dodoma. Nimeishi mikoa kadhaa; Tanga, Bukoba, Morogoro, Arusha, Tabora, nk Nimemaliza kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Natafuta mpenzi. Umri kuanzia miaka 28 hadi 50. Asiwe mshabiki au mkereketwa wa CCM. Niko Moshi kilimanjaro kwa aliye tayari tuwasiliane PM.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo Dar natafuta msichana Mwenye umri kuanzia 18-23.Kwa ajili ya kuanzisha uchumba hadi kuoana.
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Mmezoea kuniona nikija na mada za vichekesho, mada za mpenzi, mada za siasa, leo nimewaletea habali ya uzima wa milele, leo ninamzungumzia mtu mmoja anaitwa yesu kristo huyu ni yeye yule jana leo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,ninamchumba wangu ana miaka 20 tunapendana sana lakini hivi majuzi ananiambia hajidikii vizuri na hajaona siku zake ambazo hua zinawahi...
3 Reactions
93 Replies
9K Views
1, Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki, kila mmoja anamtunzia mwenziwe hadhi yake. 2, Usiwe na mtizamo mbaya wala kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi kujua atatafsiri vipi. 3...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
BY DAYAN MASINDE · 1. If you are a highly sexual person, commit to someone you find sexy. Don’t marry yet still wander around outside because your kind of sexiness cannot be found at home. 2. If...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Wachumba (ke) wanatabia ya kuforce ndoa mara twende kwetu kwanza, mara nilipie mahali kwanza' mara pete kwanza mpenzi. Baada ya muda unakuta jamaa kaoa na mara nyingi unakuta mwanaume hata...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
hivi kwamfano umepewa ujumbe umfikishie rafiki yako unashindwaje kumfata pembeni ukamwambia mpaka ukamwambie kwenye watu wengi kila mtu ajue mambo yake?kuna mtu ameniudhi sana leo kaagizwa aje...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Am looking a good garl/pretty one for charting and Shea's ideas am available Cont 0752763717 am wark national housing like customer car
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rangi ni ulevi mwingine unaodatisha watu wengine wanapenda wanawake weupe,wengine weusi n.k.Hata unapomnunulia mpenzi wako nguo ni muhimu kutambua rangi anazopenda.Mie napenda rangi ya njano sana...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni akheri unapoenda maaneo special ya wanaoujiuza,maana utachukua tahadhari za ulinzi na usalama ili upunguze/uepushe hatari.Kuliko huku mitaani wapo kibao,kwa kumtazama tu utajisifu kuwa...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Natumaini wote mupo poa humu ndani,hivi majuzi kuna ndugu yangu mmoja kanitaka ushauri,kuwa ana rafiki yake wa kike ambaye yeye mme anampenda sana ila huyu bibie haeleweki,hasa ktk kuwa wazi kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nna mchumba kaniambia nibadili din mi ni RC Ye mlokole kiukweli nampenda.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa mwakani,elimu yangu ni shahada ya biashara (uhasibu),naishi Dar umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU, Ni siku nyingi sana sijaposti kitu hapa jamvini, Nadhani majukumu yamekuwa mengi sana. Sasa twende kwenye lililonileta hapa, nina rafiki yangu wa karibu sana, wazungu...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Shikamooni wadau, Mi kijana wenu nahitaji mwanamke ambaye atakua mjasiriamali,mchakarikaji kama mimi na awe mzuri na mcheshi na asizidi 30, mimi ni mwanafunzi wa Chuo pia Mjasiriamali mdogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salama wakuu Rafiki huyu nilichakarika sana wakati wa shuhuri ya ndoa yake! Nilijitolea sana kwa sababu tumesaidiana mengi, kujulikana kwangu kwa jamii ninayo ishi nayo kulirahisisha mimi...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Back
Top Bottom