Wewe una mke wako au mme wako ambaye mmeishi pamoja kwa miaka kama kumi na mna watoto wawili.
Atakapo kufa mama yako au mke au mme wako wote utasikia uchungu lakini unadhani yupi zaidi atakupa...
HABARINI!
Kweli nimeamini jf kwa michango yenu mnabusara nyingi sana, na msemayo yapo kama hayapo yapo njiani kuja,
Hekima zenu zipo juu yenu katika kuwasaidia na kushare idea mbalimbali.Na...
Watoto wadogo wanakela sana na wasumbufu nimechoshwa na mapenzi yao,mimi kijana umri miaka 26 ni mrefu ,natafuta mpenzi umri kat i ya miaka 28 mpka 40 tuwe wapenzi tuu no ndoa manake sijawaza hlo...
Katika movie ya pursuit of happiness muigizaji anasema hakuna true happiness isipokua watu wanastruggle kuitafuta true happiness.
Ndo maana kuna time mtu unakua na furaha kuliko wengine lakini...
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu...
Habari za asubuhi,
Nilikua nauliza je, mzazi kama baba yako akisema hatokua radhi na chochote utachokifanya na hutofanikiwa je, ni kweli sitofanikiwa?
Mzazi wangu ananilaumu kwa vitu ambavyo...
Nahisi nimeingia kwenye mtego: Kuna binti 1 alikuja katika sehemu yangu ya kazi nikamfanyia kazi yake siku ya kwanza akaondoka, akaja tena mara ya pili tukaongea ongea akanipa namba yake ya simu...
Nimekaa kama mwaka na miezi kadhaa baada ya kugegeda binti mmoja mtaani hapa, tatizo la huyu binti ana kashfa ana ngoma ila nilipiga hvyo hivyo tena kavu kavu, nataka nikavunje ukimya kesho...
Wana jamvi niwape salamu za kutosha...Kama kila mtu anavyojua sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kampeni na hatimae tarehe 25 tutapiga kura ya kuchagua raisi,wabunge na madiwani.
Hili ni wazo...
Wakristo Bwana Yesu asifiwe, na Waislam asalaamaleykhum,
Kama nitakuwa nimekosea salamu hizo basi niombe radhi ila natumai nyote kwa ujumla muwazima.
Lengo langu ni kilio changu cha muda mrefu...
Ndugu wana jf nimekuwa mara kwa mara nikijiuliza hili swali au slogani inayosemwa na watu wengi kuwa mwanamke akiolewa akubali kulala bila chu.p.i.najiuliza kuna madhara gani kwa mwanamke kulala...
Nimekuwa katika mapenzi na bint mmoja yapata mwaka mmoja na nusu sasa na mara ya mwisho nimeachana naye mwezi 5 nilpokuja kwenye ajira mpya na ndo ukawa mwisho wa kusex isipokuwa mwenzangu...
Source;Mzee wa Sumo.
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina...
by Clint Edwards
Right now, my son, Tristan, is seven years old. Even at this young age, I think a lot about what kind of husband he will make. I think about his future, and if Im setting a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.