Mdharuba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 824
- 522
Habari zenu wanaJF,
Kwakweli nimewamis sana! Ila tuko pamoja!
Kwa bahati mbaya au nzuri mimi ndiye mtoto wa kiume pekee nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto wanne, wenzangu wote ni wa kike.
Sasa huyu dada yangu mkubwa ananipa wakati mgumu sana mimi.
Ngoja niwaeleze..
Yeye ananifahamu mimi vizuri, ananijua vizuri haswa!! Na anajua status yangu katika mahusiano ikoje, anafahamu vizuri haswa.
Yeye anaishi kwenye nyumba ya familia, yani anaishi na mama mkwe wake.
Sasa hao ndugu wa mumewe (wa kike) wote wakija pale kutembea au kusalimia siku mbili tatu ananipamba sana sana yani!
Yani ananimwagia sifa hadi basi afu kila mmoja anamwambia kuwa anatamani awe wifi yake (naomba nisisitize kuwa anafahamu vizuri status yangu kimahusiano).
Kiukweli dada ana uwezo mkubwa wa ushawishi kwahiyo mimi nikifika pale kwa sister huwa namsikia tu anamwambia mhusika "kakaangu mwenyewe niliyekuambia ndo huyu".
Basi hapo unakuta mtu ana0ngeza sho.b.o nachukua namba ya simu! Kinachofuata ni kuteleza tu (steep slope), sijui huwa dada anawaeleza nini kwakweli, wanakua laini mno.
Kitu kibaya ni kuwa mimi sina hata mpango, wao wenyewe wanajikuta wakijibebisha!
Pamoja na kuwa yeye huwa anafanya hvi, mimi huwa simpi mrejesho kama nyuma ya pazia mwenzie nimegegeda wote, lakn niliwahi kumuulza kwanin anafanya hv? Akanijibu kuwa huwa anatania tu, hamaanishi! Afu akaniulza "au mwenzangu huwa unatoka nao?" Nikamjibu "HAPANA".
Kiukweli hawa watu wanaonekana wamechochewa haswa, na wanamaanisha mno, lakini mimi, walaa.
Mpaka sasa wamefikia watatu, na wote nimegegeda lakini sielewi mwisho patakuaje? Maana huyu sista atakuja kuchukua lawama kubwa sana baadae nahisi!
Kitu kibaya ni kuwa hata nikishachukua namba na nikapotezea, lakini hawa watu wanaanzisha chat wenyewe!!.
Wanaonekana wamejazwa mengi kunihusu.. Nahc mengne itakua chumvi!
Maana wote walianza kwa kunambia "siku zote nilikua natamani nikuone".
Dada ananipa wakati mgumu, ilhali anajua mimi nikoje na nina mpango gani!
Wadada wengne jamani msifanye hivi.