unajua sala ambazo huwa wanasali mabinti wa kilokole ambao hawajaolewa
hebu pitia hapa nimezipanga kulingana na umri wao
1.miaka 21-24 hawa bado wako chuo na wanajiona bado wadogo so wengi...
Siku ya jumatano, aliaga alikopanga Tabata. Njiani alisimamishwa na jamaa mmoja aliyekuwa anaendesha gari flani, yule jamaa akaomba namba ya simu kila mtu akaenda zake.
Huyu dada akapanda gari...
Wanawake wengi wa mjini wanaongoza kwa kuwa single maana kila mwanamke utakayemuliza kama ameolewa au yuko single atakwambia yuko single.
Dar kazi kwelikweli.
Sijui kwa nini jamani, yani uwapo kitandani kwenye mambo yetu ukishachanganyikiwa hasa dada zetu kiingereza ni kirahisi sana kwao na wanakichapa kwel kwel, ila wawapo mashuleni na vyuoni kwenye...
Kumekuwa na mifumo inayowalemaza wanawake hali ambayo hamsini kwa hamsini wanayoililia itafia kwenye makaratasi.
Ili walau ishirini na tano ifikiwe, yafuatayo yafanyike;
Pesa ya mahari itolewe...
Ni jambo la kushangaza lakini ndio ukweli huo wanawake waliowengi wanakosea sana katika maisha yao wanakubali kujidhalilisha kuhamia nyumbani kwa mwanaume wakati hata mahari hajatolewa kwa...
Salaam wadau?
Mimi ni mdau wa jukwaa la siasa ila nimefungua id mpya ili nije nifunguke kitu kinachonsumbua nafsi yangu na kukosa raha ya kuishi
mimi bwana mdogo wa 23 yearz,nipo chuo...
Guyz kuna msichana mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtoto pamoja.
Japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amekuwa kila siku akinisihi nmuoe.
Nina wakati mgumu sababu...
Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo.
Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini...
Nikasikia makelele pale kwa jirani, kama vile wanapigana nikaona isiwe shida ngoja nijisogeze sio kwasababu za kiumbea lah ni sababu za kimsaada,hata kama ni umbea ni kidogo sana kikubwa msaada...
Matumaini yngu ya kumpata mwanangu yamepotea. Nimezaa na nes, ila tukatengana kutokana na hali yakulitumikia taifa.
Sasa kani blacklist hapa nitapata mtoto?
Ushauri!
Binafsi nimewaza kwa upeo wangu nimeshindwa kupata ufumbuzi kutoka na maneno ya vijana mitaani, unakuta mtu alikuwa anamtongoza kesho anamkuta jamaa mwingine anamtongoza utasikia aa nimeshtuka...
Natafuta rafiki wa kike aliyepo Dar, Moro au Pwani uwe mkristo tena mcha Mungu, uwe unajielewa vyema. Umri usiozidi 27yrs old. Elimu at least for four, ila sipendelei wafupi lengo la langu ni...
Naitwa kelvin nina miaka 25 naishi dar, natafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano na baadae ndoa sichagui dini,rangi wala kabila uwe tu mpenda maendeleo na mtafutaji na mwenye kujua thaman ya...
Awali nilioa mwanamke niliyempenda na tukapendana, tuliishi maisha ya kawaida na yenye furaha sana mimi, mke wangu na watoto wangu wawili.
Bahati mbaya Mungu alimpenda zaidi alipata ajali ya gari...
Natafuta mpenzi.
Umri kuanzia miaka 28 hadi 40.
Asiwe mshabiki au mkereketwa wa CCM.
Awe serious.
Niko Moshi, Kilimanjaro kwa aliye tayari tuwasiliane PM.
Habari zenu marafiki,
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa nia na madhumuni ni kutafuta marafiki kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo ya kimaisha. mimi naishi singida ni mfanya kazi kwenye...
Jamaa ana mtoto wa kike, umri kama miaka mi-4 sasa. Hajaoa, wala hana mawasiliano na mama wa mtoto(Tuyaachie hapo tafadhali). Mtoto anaishi na wazazi wa jamaa. Jamaa anamuona mwanae mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.