Pepo uliengia katika midomo ya vijana wadogo nakuamuru utoke katika jina la yesu, achia huo mdomo, achia ulimi achia hizo lips....amen
kelvin upo huru, ingia mtaani karushe mistari

Nakwambia
nimefumba hadi macho kwa aibu nilioiona...!!
Amina.....Hahahahah uko vizuri mtumishi
Nawe upo huru ha ha ha mfate kelvin mtaani
Nawe upo huru ha ha ha mfate kelvin mtaani
Pepo uliengia katika midomo ya vijana wadogo nakuamuru utoke katika jina la yesu, achia huo mdomo, achia ulimi achia hizo lips....amen
kelvin upo huru, ingia mtaani karushe mistari
Aisee mi uniombee tukiwa wawili hapo ndio maombi yataingia vizuri
Nikupm niandike nini konda?Evelyn pls ni pm..!!
Pepo uliengia katika midomo ya vijana wadogo nakuamuru utoke katika jina la yesu, achia huo mdomo, achia ulimi achia hizo lips....amen
kelvin upo huru, ingia mtaani karushe mistari
Huku sasa ni kuelekea kunirubuni
Hafu wewe!
Haya bana.
Ha ha ha ulivonikalia kooni sasa lol
hebu ninunulie castle lite kwanza nipoze koo mie
mtaan pamoto s kila mwanamke anafaa kuw mke ..ktaa s kitaa tena